mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

Una bahati sana mkuu. Unapata mgawo wa mshahara wa mwanamke nusu kwa nusu??!!. Wengine huwa hata hatujui analipwa bei gani , japo ni mfanyakazi. Na tunagharamia kuanzia pedi, kucha mpk mawigi.
Eeeh! Pedi nayo unamnunulia mkeo?
 
Hapo kwenye siasa za Mbowe tupo pamoja ila kwenye kugawana ela ya jinsia ke nenda Mgufuli bus terminal usubirie Azam marine
 
Guys mtoa mada hayupo serious. (He is making some jokes) Ni katika hali ya kunogesha jukwaa tuu...
 
Nipe namba yake mkuu! Ntalishungulikia jambo hili mpk upate Haki yako!

Hapa tu natoka madale ku solve kesi kama yako!

Tena wewe jamaa una bahati sana! Hii kesi ndogo sana ... Sina kipengele mkuu
 
Mkuu hii ni serious au unatania?
 
Watoto wa kike kazi ipo kizazi hiki cha kiume ni balaa
Poleni sana mabinti zangu, mnapata taabu sana na hizi takataka! Janaume zima hata halioni aibu kuja kulalamika kwa wanaume!
 
Wewe NI Fala WA kiwango cha Professor maji marefu..Pesa ya mwanamke haikihusu
 
Mtoto wa kiume unalilia mshahara wa hawara....!
Slope unayoililia ni vizuri ukatafuta bwana, hautapewa nusu mshahara lakini matumizi yako madogo madogo kama poda, cream utawezeshwa bila shida.
 
Wewe kama qumer unapewa shida yako nini? Yaani mwanamke atafute wewe umelaza pumbu tu, utapigwa mashine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…