min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Cha mlevi huliwa na mgema , shindikanaa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpeleke polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha mlevi huliwa na mgema , shindikanaa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpeleke polisi.
Eeeh! Pedi nayo unamnunulia mkeo?Una bahati sana mkuu. Unapata mgawo wa mshahara wa mwanamke nusu kwa nusu??!!. Wengine huwa hata hatujui analipwa bei gani , japo ni mfanyakazi. Na tunagharamia kuanzia pedi, kucha mpk mawigi.
Hapo kwenye siasa za Mbowe tupo pamoja ila kwenye kugawana ela ya jinsia ke nenda Mgufuli bus terminal usubirie Azam marineushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo
Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu na kila kitu kilikuwa kikienda vizuri maana relationship ni kusaidiana wakati WA Shida na raha. Shida ilianza 3 months ago alipoanza kuniambia kuwa hajalipwa. Wakati mwingine anasema amelipwa nusu ya mshahara. Namwambia tugawane hiyo nusu ananipiga chenga hanipi hata senti yoyote kwa muda wa miezi yote mitatu iliyopita ,anatoa ahadi ya kunipa nachukua madeni nikitegemea pesa alafu hanipi hadi muda nina madeni makubwa nikimkumbusha anasema nisijali nashindwa kumuelewa huyu mwanamke
Wakati fulani natamani hata kwenda kumuuliza mwenye amemuajiri kama ni kweli halipwi au analeta siasa za mbowe.
Kabla sijachukua hatua nyingine niulize kweli Kuna matajiri wanalipa mshahara nusu au huyu mwanamke amepata mwanaume mwingine? Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f
Mkuu hii ni serious au unatania?ushauri wenu jamaniii

Au sio🤣🤣🤣Cha mlevi huliwa na mgema , shindikanaa.
Sasa Yahaya ukiachana naye utakula wapi?Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f
Poleni sana mabinti zangu, mnapata taabu sana na hizi takataka! Janaume zima hata halioni aibu kuja kulalamika kwa wanaume!Watoto wa kike kazi ipo kizazi hiki cha kiume ni balaa
Mtoto wa kiume unalilia mshahara wa hawara....!ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo
Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu na kila kitu kilikuwa kikienda vizuri maana relationship ni kusaidiana wakati WA Shida na raha. Shida ilianza 3 months ago alipoanza kuniambia kuwa hajalipwa. Wakati mwingine anasema amelipwa nusu ya mshahara. Namwambia tugawane hiyo nusu ananipiga chenga hanipi hata senti yoyote kwa muda wa miezi yote mitatu iliyopita ,anatoa ahadi ya kunipa nachukua madeni nikitegemea pesa alafu hanipi hadi muda nina madeni makubwa nikimkumbusha anasema nisijali nashindwa kumuelewa huyu mwanamke
Wakati fulani natamani hata kwenda kumuuliza mwenye amemuajiri kama ni kweli halipwi au analeta siasa za mbowe.
Kabla sijachukua hatua nyingine niulize kweli Kuna matajiri wanalipa mshahara nusu au huyu mwanamke amepata mwanaume mwingine? Je, niendelee kukua na yeye ama? 😭 😭 apa nimechanganyikiwa mazee dah mnanishauri nini!??wana j.f
Huwa mnataka 50/50. Kazi kwenu mtoa uzi hata mahari wachangie nusu kwa nusu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpeleke polisi.
Wewe kama qumer unapewa shida yako nini? Yaani mwanamke atafute wewe umelaza pumbu tu, utapigwa mashine.ushauri wenu jamaniii