nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,250
- 1,727
Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana.
Jana jmos asubuh tuliongea akanambia amenimiss ananihitaj niende kwake ila kutokana na majukumu ya kikazi nikamwambia sitoweza, ntakuja jpili au yeye aje kwangu jpili ambayo ni leo. Tukakubaliana vizur tu sawa. Sasa ghafla jana usiku ananitumia meseji ''ukija hatutasex" , mim nikashtuka maana sio kawaida, nikampigia simu kulikon? Sasa hapo ndipo akaanza kufunguka sasa.. nanukuu..
" unajua mim sijawahi kutosheka kabisa kwenye mapenzi yaan tunasex nasikia raha na nafika kilelen ila tukimaliza tu baada ta muda hamu bado inakuwepo tofauti na marafk zake wakike wakisex ham zinaisha yaan wanaweza kukaa hata wik bila kusikia ham lakn kwake ni tofauti tukisex ikifika kesho tu hamu bdo iko pale pale"
Ila nikamuuliza kwann sku zote hzo unanambiaga una enjoy na kufika kilelen ulikua unapretend? Alinijibu anafika kilelen ila ikifika tu kesho yake hamu bado nakua nayo tena..
Baada ya kunambia hivo nmeghair had kwenda tena kwake leo kama tulivokubaliana.nahisi kama fedheha hivi.
Naomben kujua hiv inawezekana kweli mwanamke akasikia raha na akafika kilelen lakn na hamu bado ikaendelea kuwepo? Au inatakiwa akifika kilelen asipate hamu tena kwasku kadhaa mbeleni?