Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kimbia. Siku ukimuoa na kusafiri kikazi atafanya nini? Hii ni aina ya wanawake wanaolala na shemeji ama mtunza bustani ama mwanaume yeyote ambaye yuko karibu ukisafiri kwa hata kwa juma moja tu. Soma pia nymphomaniac kwenye Google.
Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana.
Jana jmos asubuh tuliongea akanambia amenimiss ananihitaj niende kwake ila kutokana na majukumu ya kikazi nikamwambia sitoweza, ntakuja jpili