Mpenzi wangu anafika ila hamu haiishi

Kwa lugha ya mtaani, huyo ni "kinyege mshindo"

1. Inawezekana ana pepo la ngono (jini mahaba)

2. Inawezekana hafiki kileleni japo yeye anasema anafika

Cha kufanya:-

Kaa siku 12 bila kufanya ngono, kisha mualike mkutane.

USITUMIE VUMBI LA CONGO wala dawa za kuongeza nguvu unless huna hizo nguvu KWA UTHIBITISHO WA DAKTARI

= Hakikisha foreplay yako ya kwanza imfanye afike kileleni. Siyo aseme amefika, wewe ndio ujuwe sasa huyu kafika. AMwanamke akifika kileleni lazima utajuwa tu, siyo kwa kumuuliza.

Ukimuuliza atakujibu NDIYO, kumbe bado, naye anajuwa bado ila anakuchora tu.

So 1st forepaly, me her reach orgasms.

Akifika muache apumzike, ikibidi ajimwagie maji.

Raound ya pili, mfikishe kileleni lakini usimwagie watanzania ndani.

Hakikisha yeye amefika kwanza kisha nawe kazana ufike.

Akifika na ukifika mkaoge mpunzike kadika kadhaa kabla ya kuendelea.

Game iende hivyo hadi atakapoomba poo.

Note:

Mwanaume unawez kupiga hata goli 6 bila mwanamke kufika kilele kama hujui ku handle mchezo...

Unajiona umempelekea moto lakini haukumsaidia chochote! Make sure ur wife reaches orgasms.

Kwa darasa zuri pitia uzi huu

Yaani huu ni ushauri wa maana sana, tena hapo mwisho "maisha ni kitu huru sana" na mapenzi ni starehe sio adhabu, unakuwaje na mpenzi roho iko juu juu unawaza kama utamridhisha au lah?

Nashangaa mtu anasema alifanya mapenzi akawa anakojoa hadi vitone vya semeni, jamani kwani vita? 😆

Kila mtu ajitahidi kumridhisha mwenzi wake lakini anaposhindwa amwambie mwenzi wake amsaidie/amfundishe namna ya kumfanya aridhike. Msipende kuteseka jamani mtakuja kufia vifuani.
 
Mpe hela mkuu hamu itakuwa inamuisha hyo
 
Ona na huyu:

Msichana mwenye umri wa miaka 19 amekamatwa na Polisi katika Kijiji cha Thiba, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya kwa madai ya kumuua Mpenzi wake wa kiume chanzo kikiwa ni Mpenzi wake huyo kumtembelea nyumbani kwao bila ruhusa.

Baba wa Marehemu John Kmani amesema Mtoto wake alichomwa na kisu na Mpenzi wake baada ya kuzuka ugomvi uliosababishwa na Kijana huyo kwenda nyumbani kwa Mpenzi wake bila kumpa taarifa, bado haijawekwa wazi kuwa Msichana huyo alikuwa anaishi mwenyewe au na Wazazi wake.

Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi katika Kituo cha Polisi Kiamaciri akisubiri kufikishwa Mahakamani.
 
Mpenzi wangu pia ni kama wako, unamridhisha sasa hivi ila kesho yake lazima atake tena.

Basi ninachofanya kwa sasa nikishaona amefika hata mara 3 kinachofuata ni kumpiga style fulani hivi ya kumbana miguu.

Yani nikisugua kama dk 30 hivi lazima baadae akienda chooni apate maumivu yatakayodumu hata siku 4 ndio atamani tena game.
 
Nilitaka kushauri the same, niliwahi kupita kwenye dimbwi la namna hii. Unakutana na mdada sex drive yake iko juu mno, hadi unajiuliza huyu kaumbwaje tofauti na wengine?

Kupump in and out haisaidii hata usugue the whole day hatosheki, kwanza hizo nguvu si nikatumie kutafuta pesa. Nikapewa wazo na mdau mmoja, katerero will help you bro, nikapata maujanja jinsi ya kukipiga ki.ne.mbe, maniner....

Next day nakutana nae it was all about kukichapa fimbo, siku ile naamini attendants wa ile lodge walitoa matusi manake tulichora ramani ya afrika multiple times. Mtoto anatoka pale miguu haina nguvu(Ila nilimsugua kidogo sana)...nikajua kumbe sio lazima kusuguana siku nzima...kumbe kuna tricks zingine tukitumia wenzi wetu wananyanyua miguu hadi darini[emoji23]

Yote hii ilikuwa ujanani though...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yewooomi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2297]
 
Yeye ndo ilitakiwa apige hizo bao 6 sio wewe. Wewe hata ukipiga 20 yeye kama hajapiga hata moja akitoka hapo anauwezo wa kupigwa tena na mtu mwingine
 
Yeye pia alitowa vingi tu mpk anajikunja kama ana degedege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…