Ingekuwa Mimi muda huo huo natangaza maamuzi ya kudumu, wanawake wengi hawasemi ila akiniambia nafurahia Sana na ninampa kipaumbele maana ameniamini ndiyo maana akasema la moyoni..
Sasa ukimwacha atafedheheka Sana kwasababu amejianika kwako halafu unamtolea nje means umedharau na kuona sio swala la msingi kwako,, Sasa nikuulize mleta Uzi huu....
NI Bora akuambie utafute namna ya kujipanga kukabiliana na tatizo lake kumsaidia au Bora atafute mwanaume mwingine amsaidie wakati bado upo nae yaani uchapiwe?