Mpenzi wangu anajikojelea kitandani

Mr Bean

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
206
Reaction score
178
Mpenzi wangu ni kikojozi, nifanyeje?

Magodoro yote yameoza.

Nimempiga marufuku asinywe maji au chai usiku. ila hali bado ile ile, tena asipokunya maji anakojoa asidi (acid), pampers anavaa ila bado godoro linaloa.

Akinywa maji ya bahari anakojoa chumvi.
 
mpenzi wangu ni kikojozi, nifanyeje?

magodoro yote yameoza.

nimempiga marufuku asinywe maji au chai usiku. ila hali bado ile ile, tena asipokunya maji anakojoa asidi (acid), pampers anavaa ila bado godoro linaroa.
Pole sana ndugu yangu,naomba nitafute nikupe sawa baada ya siku saba ataacha kuwa maji kitandani kabisa maisha yake yote,tuwasiliane mkuu
 
Pole sana ndugu yangu,naomba nitafute nikupe sawa baada ya siku saba ataacha kuwa maji kitandani kabisa maisha yake yote,tuwasiliane mkuu
unapatikana wapi mkuu? huyu ni kikojozi sugu dawa zote zigonga mwamba.
 
Huyo mpenzi wako anamatatizo sana kwanza anapenda kulala, ni mwizi anakuibiaga pesa then bado ni kikojozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…