Mpenzi wangu anajikojelea kitandani

Mpenzi wangu anajikojelea kitandani

Kwa akili hizi....
Bora tu Jf izimwe kabisa, na sio kudukuliwa tu 24/7 Muungano day
don't you people have sense of humor?
taking everything in life seriously?
come on,, laugh and have some fun
 
Huyu jamaa kamuwenga mke wake maana naona post zote nne katuma kwa muda mmoja
Mara mke kikojozo
Mke anamwibia pesa
Mke analala sana
Mke hajui kuchemsha maji

Mwogope Mungu atakuadhibu mzee
 
mpenzi wangu ni kikojozi, nifanyeje?

magodoro yote yameoza.

nimempiga marufuku asinywe maji au chai usiku. ila hali bado ile ile, tena asipokunya maji anakojoa asidi (acid), pampers anavaa ila bado godoro linaroa.

akinywa maji ya bahari anakojoa chumvi
Daaa mkuui najua ni kipindii kigumuu sanaa unapitaaa
Na nahisi kabisaa wewe ni mwanaumee wa Dar
Lkn si shidaa huku mikoani kuna vitu vya asilii ambayo hupewa na akaacha kabisaaaaa hiyoo mkuuu rudia asilii acha udigitali mkuu
 
don't you people have sense of humor?
taking everything in life seriously?
come on,, laugh and have some fun
Hapo nimeelewa tu maana ya pipo, sasa ili usiongeze lugha ya bepari ngoja tu niseme Yes Sir....[emoji20] [emoji20]
 
don't you people have sense of humor?
taking everything in life seriously?
come on,, laugh and have some fun
Unapoleta mizaha kama hii kwenye majukwaa makini kama haya maana yake unafunga milango ya wenzako kupata misaada ya kiushauri kwenye mambo yao nyeti kwenye ndoa.....alafu unapunguza ari ya watu kuchangia mada hata kwa uhitaji wa kweli wa ushauri

Behave
 
Weka picha tafadhali

namsaidia kuweka picha, nlikuepo eneo la tukio.

1070883
 
Back
Top Bottom