Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Nimepitia threads kadhaa za kijana, na bila shaka nimejiridhisha na andiko lakoHuyu bwana mdogo atakuwa anashindana na mtu kutoa threads....!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepitia threads kadhaa za kijana, na bila shaka nimejiridhisha na andiko lakoHuyu bwana mdogo atakuwa anashindana na mtu kutoa threads....!!?
Hahah!! Atakua kishampa taraka na kaoa mwingineHahahahahahaaaa.
Na kwa sasa anachemsha maji hadi yanaungua
Heheh!! Tuvumiliane tuSasa hawa kina mr bean fujo nyingi sanaa
Sasa picha gani tenaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Daaa mkuui najua ni kipindii kigumuu sanaa unapitaaampenzi wangu ni kikojozi, nifanyeje?
magodoro yote yameoza.
nimempiga marufuku asinywe maji au chai usiku. ila hali bado ile ile, tena asipokunya maji anakojoa asidi (acid), pampers anavaa ila bado godoro linaroa.
akinywa maji ya bahari anakojoa chumvi
Hapo nimeelewa tu maana ya pipo, sasa ili usiongeze lugha ya bepari ngoja tu niseme Yes Sir....[emoji20] [emoji20]don't you people have sense of humor?
taking everything in life seriously?
come on,, laugh and have some fun
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weka picha tafadhali
Unapoleta mizaha kama hii kwenye majukwaa makini kama haya maana yake unafunga milango ya wenzako kupata misaada ya kiushauri kwenye mambo yao nyeti kwenye ndoa.....alafu unapunguza ari ya watu kuchangia mada hata kwa uhitaji wa kweli wa ushauridon't you people have sense of humor?
taking everything in life seriously?
come on,, laugh and have some fun
sawa mkuu.. my apologiesUnapoleta mizaha kama hii kwenye majukwaa makini kama haya maana yake unafunga milango ya wenzako kupata misaada ya kiushauri kwenye mambo yao nyeti kwenye ndoa.....alafu unapunguza ari ya watu kuchangia mada hata kwa uhitaji wa kweli wa ushauri
Behave
Weka picha tafadhali