Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

Aende hospitali akapime magonjwa ya zinaa, U.T.I, na homoni.
Tiba, -ale mlo kamili hasa wa vyakula asilia.
-Anywe maji ya kutosha
-Atumie unga wa majani ya. mlonge asubuhi na jioni kwa mwezi mzima.
 
Yawezekana muda wa kumuandaa umepunguzwa.Au kisaikolojia hayuko vizuri. Au hafikishwi pahala kwa muda mrefu sasa.Kwa hiyo,hana hisia tena kwako.
 
Kwa kifupi kabisa ni kwamba siku hizi hakupendi,na huenda ana mchepuko!....kama mwanamke hakupendi hawezi kutoa ute!
 
Hili tatizo linawasumbua sana wasichana kuanzia miaka 17 mpaka 25

Wengi wanakabiliwa na tatizo hili bila kujua kama wanalo sababu wengi wanakuwa kwenye mahusiano ya muda mfupi mfupi, dalili zake ni Maumivu wakati wa tendo na kutokuwa na hamu(swing mode) na uteute baada ya round ya kwanza
Wengi wanafanya tendo kwa kulazimishwa hama kutaka kumfurahisha mwanaume na kufake tendo kwa ujumla

Tatizo hili linasababishwa na mabadiliko ya homoni katika mwili wa wasichana kutokana na msongo wa mawazo, mazoea ya jambo fulani au kuwa na mkazo,kutomwamini mpenzi wake, manyanyaso ya kingono, kushuka moyo na kutojiamini(kuwa dhaifu) mbele ya rika

Tatizo lipo kisaikolojia zaidi hivyo njia ya kuliondoa ni kuongeza mapenzi na kumjali zaidi ili kumtoa huko kwenye msongo
 
U.T.I Iliyokomaa au kawa na mahusiano mengine na feelings zake ziko kwa mwanaume mwingine.

Hebu jaribu kuwa karibu nae, ale matunda ya kutosha, mhimize anywe Maji na mboga za majani.

Mazoezi pia husaidia
 
Huyo atakua kakuchoka na kamwe hawezi kukwambia
 
Visababishi ni vingi, lakini vyote hivyo ni kuathiri hormones za kutoa ute. Baadhi ni mavidonge ya majira, msongo wa mawazo, kuwa na shughuli nyingi na kukosa muda wa kupumzika. Akiwa around 50's menopause inapunguza sana hormones na huko down atakuwa dry. Akienda hospitali atapewa dawa kuongeza hormones. Kama angekuwa mwanaume angepata shida ya erection. Inashangaza mada tawala jf ni ukosefu wa nguvu za kiume lakini na hiyo amekosa nguvu za kike . ni wa kuhurumia na kutafuta tiba .
 
Mpenzi wako ni mwenyeji wa mkoa gani?
 
Kama anatumia pilipili aache kabisa. Pia ajitahidi kunywa maji mengi pamoja na kula ndizi za kupikwa Mara kwa Mara.
 
Heheheee usinichekeshe mie
Sijawahi kula hela ya mwanaume humu jf
Huwa napiga free p
Rafiki please, please, please,nami naomba huo msaada wa free p kwani hali yangu ya huku chini siyo nzuri!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Lazima nikupe ukweli japo mchungu,hana hisia na wewe hapo unambaka tu anakupa just kukuridhisha ila hafeel chochote zaidi ya maumivu na michubuko! Cha kufanya fuatilia nn kimefanya apoteze hisia km ugomvi,styles, uchumi,michepuko au laah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…