Mkuu kama kuna watu wanaongoza kwa kuishi maisha ya illusion basi ni wanaume then ndio wanafuata wanawake yani wanaume wengi wanajidanganya na wanadanganyana sana, by the way umeshasema decent and good men sidhani kama kuna mwanamke atapata mwanaume mwenye sifa hizo halafu akakataa kuolewa tatizo ni kwamba hao decent and good men wako wachache kama siyo hawapo kabisa, wanawake hasa wanaojitambua hawataki kuolewa na hawa wanaume wapumbavu wanaokutana nao kila siku kwahiyo msiwalazimishe wengi wanaona heri wawe single mothers na wasimbe wapate furaha kwa watoto wao tu kuliko kuolewa na hawa wanaume wahuni kisha waishie kuenda kuteseka na stress kwenye hizo ndoa