nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Kweli kabia siku hizi waweza lipia huduma yoyote.
Mtaftiwa kumyoa kama wewe huwezi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaftiwa kumyoa kama wewe huwezi!
Hahahahahah.....hii imekaa vizuri! Hahahha JF bwana ni zaidi ya CHIBOKO! Safi sana CPU, I like this!Mlete nikuonyeshe wanavyonyoa ili siku nyingine usiwe mwoga
Kwamba anyoe kwa kutumia M-PESA kama anavyolipia LUKU akiwa kitandani...hahahah!Kweli kabia siku hizi waweza lipia huduma yoyote.
si ndio hapo. We kokudo wa wapi? Hebu mnyoe mwenzio. Ngoja nikuletee vitendea kazi.halafu mkiambiwa hamko romantic mnatukana mbona kitu cha kawaida tuu
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.