Sasa wewe, ikiwa kunyoa tu hizo nywele inakua ishu! Je kwenda chumvini utaweza? kama walivyosema wadau hapo juu, akimpata wa kumaliza hiyo shuhuli usilalame tena hapa JF ''hooo....mpenzi wangu siku hizi anijali tena na wala hataki kukaa na mimi muda mrefu kama mwanzoni''
Ingawa hujasema ni nywele za wapi, lakini kwa haraka haraka inaonyesha ni za kule sehemu za siri, hilo ni jambo la kawaida kabisa kufanya kwa Mpenzi wako na wala sio kitu cha ajabu, tena hukupwa kabisa kuja kulalama hapa ni vile tu hujui. Hapo ndio utasikia wenzio Wakiji NANGA kuwa wanawafahamu wapenzi wao ''Inn and Out'' unafikiri ni vipi? ndio pamoja na mambo kama hayo unapata nafasi ya KUPERUZI na KUDADISI sehemu nyeti za mpenzi wako.
Vitu kama hivyo ndio huongeza umuhimu wa mwenza wako pale anapokua bali nawe coz huduma kama hiyo huwezi pata toka kwa yeyote yule zaidi ya mpenzi wako, coz hata kuhudumiwa tu yataka trust ya hali ya juu na sio kuhudumia tu peke yake.
ZINDUKA WEWE, HAMKA NENDA KAMNYOE FASTA MWENZIO NA USILALAME WALA KUULIZA TENA HAPA.