Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWAMBIE TU UKWELI KUWA INAKUPA SHIDA KUMNYOA.
Kama bado nii mpenzi tu me ckushauri maana utakuwa unamtimizia majukumu ya mke au mume,na kama kweli mnaplan za kuoana hawezi kukukimbia eti kisa umekataa kumnyoa loh!!!
Mwambie hayo majukumu ya mke na mume huwezi yafanya now jamani,mwambie unavyojiskia hadi humnyoi asikizingue kabisaaaaaaaaaaaa
Nywele si zipo kichwani ? Unless sio nywele !
Kichwani anakwenda saloon zilizobki ndo shughuli
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.
Mmmhh Kokudo mi staki kukuomba utaninyima Unitonese kidonda cha moyo.Na leo weekend imeanza yale maduka Ya dawa tamu yamefungwa.. mmhhhh..Kwanini afro?mi c mchoyo jamani we niombe 2
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.
Nimeipenda hii!!Mara nyingi huwa kuna vituo vya burudani kwenye unyolewaji, we mnyoe tu, coz ukimaliza upande mmoja burudani maana huwezi fanya kazi ile mpaka mwisho bila kituo cha burudani.......mnyoe bana