Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

Kwanza umri tuambie maana usijemlaumu kumbe jamaa kashajichokea.
 
Huyo ni mbovu au anatoka njema ambako kuna ujanja zaid.

On serious note, 3-4 times a week ni kawaida, Sasa ikiwa wewe unataka zaidi ndio maana anachoka. Why can't try to make it less but quality.
 
Hapo unahaki ya kulalamika kumbe bado mtoto kabisa huyo kwanini anakuwa mzembe hivyo wanatoa 1 na kulala ni kama hawa wa kwetu sie 48 huko sasa 32 mmmhhh kuna shida hapo aisee kama si ana mwingine basi anafanyakazi sana na kuchoka. Cha msingi hebu kaa nae mzungumze sio mpaka wamarekani waambie mzungumze. Hii ifanye iwe kwa hisani yako
 
Inawezekana anachoka sana kazini,au stress,vipi wakati mko free kama week end au akiwa holiday?
 
hahahaha hizo salooni zenu izo....haya bana mwambie jamaa aache uvivu uwafurahishe mashosti zako...
 
sasa na wewe unavimalizia wapi?
 
Inawezekana anachoka sana kazini,au stress,vipi wakati mko free kama week end au akiwa holiday?
mama wa busara hujambo? mbona umetupa ivyoo? au babu kakuficha anakagua matiti...mwambie hayo si yake ni yangu bana..
 
Pole sana, huenda huyo mpenzi wako ana matatizo au kazi anazofanya zinamsababishia uchovu na hivyo kumfanya asiweze kuhimili mchezo. Nashauri uongee nae kuhusu hali yake na umwelezee kuwa hupendi hilo goli moja kama kuna matatizo zaidi mshauri akawaone wataalamu wa afya!
 
...WAKATI MWINGINE KUWA NA MKE MDOGO MDOGO NI SHIDA SANA!
wakina mama wadogo wadogo wanachokifikiria wao ni kwamba waume zao wanawaza unyumba tu......!

pole sana mama!

nakuacha na tafakari hii:
TOA KIBANZI............
 
pole mwaya wee, mimi na mwenzangu tunapeana ngoma droo! Kama ni 3-3 kwa wakati mmoja kila siku!
 
mie naona hio dozi ni sawa,
mwanaume akipiga goli moja ni sawa ametembea miles na miles...
kama mnafanya mara tatu kwa week aisee aakuwa ametembea miles nyingi sana😎😎
kama unataka zaidi ya hapo ni kumuonea..hahhahah

lakini siriazz haya ya wenzio kuenda round mbili tatu umeyasikia wapi?
watu kumbe mnaaambianaga mambo kama haya?LOL
 
Sitaki kumfurahisha mtu, ila nimeliweka hapa nipate ushauri, kama ni kawaida au la, na kama ni tatizo maana yawezekana mi nataka zaidi kumbe hiyo ni kawaida kwa baadhi ya watu...
 
roselyne1;1316920]mie naona hio dozi ni sawa,
mwanaume akipiga goli moja ni sawa ametembea miles na miles...
kama mnafanya mara tatu kwa week aisee aakuwa ametembea miles nyingi sana😎😎
kama unataka zaidi ya hapo ni kumuonea..hahhahah

lakini siriazz haya ya wenzio kuenda round mbili tatu umeyasikia wapi?
watu kumbe mnaaambianaga mambo kama haya?

Hahahahaha, kuna siri ndugu yangu siku hizi? hata humu kwenye JF huwa tunayasoma ndo hviyo tunapata matamanio
 
mama wa busara hujambo? mbona umetupa ivyoo? au babu kakuficha anakagua matiti...mwambie hayo si yake ni yangu bana..

Sijambo swir,babu alishanikabidhi kwako kwa hiyo nimetua wewe tu sasa ushindwe.Kwema lkn?
 
Sitaki kumfurahisha mtu, ila nimeliweka hapa nipate ushauri, kama ni kawaida au la, na kama ni tatizo maana yawezekana mi nataka zaidi kumbe hiyo ni kawaida kwa baadhi ya watu...
kwakweli kadozi ka 1 kwa siku sio kawaida! angalau hata tuwili basi! nina uhakika hako kamoja hukashusha ndani ya dkk 5 tu kwishnei!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…