Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

Ndugu zangu,
Nimekuwa na mpenzi wangu muda mrefu sasa, tunaishi kama mume na mke, na kulingana na maisha tunayoishi, nina uhakika hana msichana nje, kinachonikwanza ni kila tukitenda tendo la ndoa baada tu ya kumaliza goli la kwanza basi harudii tena na wakati mwingine analala kabisa, na hata nikimshawishi kupata kitu cha pili , basi jogoo hasimami kabisa, na kwa wiki tunaweza tukakutana mara 3 -4 kwa kimoja kimoja tu, na sometimes huwa anasafiri wiki-wiki mbili, ila hata akirudi, utaratibu ni ule ule, atafanya mara moja tu, mpaka kesho yake au keshokutwa anasema inatosha kwa leo... hii ni utaratibu since nimeanza nae urafiki, mwaka sasa, je nichukulie hali ya kawaida au kuna tatizo... style nazitumia sana, ufundi mwingi nafanya, kwa kweli maandalizi ya mbinu tofauti daily nafanya.. ila lastly anafanya mara moja tu... je wandugu, hii ni kawaida au kuna tatizo hapa (simhisi kufanya nje kabisa kama ana msichana katu)
Pole sana kwa hali inayokukuta,yatakiwa ufahamu kuwa tendo la ndoa ni suala linalohitaji kuridhika kwa maana ya kuwa unafikia kikomo cha hamu uliyokuwa nayo hata kama unafanya mara moja,ni sawa na chakula ukila sana matokeo yake ni kuvimbiwa,hivyo jaribu kujifunza kuridhika na hiyo round moja na kwa kuwa unaijua vizuri inavyokuwa basi ifanye iwe ya muda mrefu ili uridhike.
Vunja ukimya ukiona hali inakuwa mbaya kwako kwa kuzungumza nae,pia jaribu kubadilisha mazingira ya tendo lenyewe maana inaonesha mechi zinachezwa zaidi kitandani.
 
Hujatuambia hilo goli moja anachukua muda gani? maana Pretta kuna post moja alisema "bora bao moja linalochukua nusu saa kuliko goli la dakika tano" sasa hujatufahamisha
1. Hilo goli moja huwa jamaa akipanda anashuka baada ya muda gani
2. Je huridhiki? yaani hukuacha wewe ukiwa bado hujafika?
3. Huwa mnaaza tu au mnapiga stori na kugusana hapa na pale? Maana na hiyo pia inasaidia.

Ushauri wangu.

Jaribu kuzungumza nae umpe na hizo story za saluni.
Badilisheni mazingira style muulize ipi inampa apitaiti, position ya kitanda na manukato sometimes.
 
Mkuu sokomoko, romance itatuchukulia muda mwingi kidogo, na tunaandaa kiukwelii kabisa, mpaka wote tunakuwa tayari kabisa, tendo lenyewe akipanda yaweza kuzidi 10m, ila sijawahi kuhesabu kabisa kwa kweli, ila kiufupi huwa ananiweka vitu haswa, na ndani ya tendo moja tunachange style zaidi ya 3 hivi tofauti...na lazima nifike tu kileleni, nae hufika vizuri sana, mkuu manukato nayatumia haswa kama nilivyofundwa na kungwi wangu kule mitaa ya chumbageni (tanga) ila huku bara nilipo jamani supu ya PWEZA adimu kweli, haipatikani (singida line)
 
@ Konakali, 1-anachojua ni kwamba nilikuwa na 1st boyfriend nimeachana nae, hajui history ya huyo jamaa
2- nilishawahi kumwambia na anasema inatosha, yeye anajiskia uchovu
3.. Yeye ni Community worker- mara nyingi anakuwa field
4- Yap, romance nyingi tu, kuanzia oral mpaka, mwili mzima na viungo vyake
5- Always ni kukumbatiana, miguu yake na mikono yake lazima ikunjane kwangu
6- Chakula ni mchanganyiko kwa kweli, sato, kuku, viazi,mbogamboga ugali wali, yaani vyakula vyote na anachagua yeye kwa gharama yoyote ile, kwenye masuala ya msosi ni first kabisa, choice murua,
7- Walk- atleast 3 times per week
8- kwa maelezo yake mimi ni wa pili
9- si mtu wa mawazo sana, coz akishamaliza saa za kazi, mambo ya kiofisi yameisha, masuala ya maisha tunakuwa tunajadili wote, na mipango yote inakuwa kwenye mstari
Well, sasa leo ukajaribu kama ifuatavyo;

  1. Akifika mpokee kama kawa, mvulie viatu then msindikize bafuni mkaoge pamoja, mkitoka huko mpake mafuta huku ukimkanda viungo vyake kama miguu, mikono, mgongo, kifua nk. mkae kitandani hadi jioni kabisa, japo usimpe tunda. Hii uifanye baada ya kumpatia kitu kama bites, bamoja juice ya matunda...!
  2. Mdadisi taratiiibu, tena bila kuonesha kupaniki kama huwa anakuwa na mawazo tofauti na mchezo awapo kwenye game, huku ukimfariji, muoneshe kuwa engependa akufikishe hatua gani kitandani, mpatie matarijio yako. Mhakikishie kuwa huna mwingine, na wala haupo tayari kumpata na ndio maana unamshirikisha swala kama hilo...!
  3. Mfariji juu ya maisha ya kawaida, ujue alichokuwa akitarajia maishani mwake na mafanikio, au uwelekeo wa kufanikiwa e.g, huenda alitarajia awe na nyumba nzuri ifikapo 2010, lakini hadi sasa anapangisha, tena bila hata kiwanja...! Mshauri juu ya ukubwa wa familia inayomtegemea kama ipo, huenda inampa headache....!
  4. Kamwe usione kutafuta dozi huko nje ndio suluhisho, bali ni kujaribu kumwelewa, kumtengeneza yeye akufae na kuridhika naye...! Ujaribu kuitambua nature ya kazi yake na umuoneshe hilo...!
  5. Muingiapo chumbani sio mnabaki nusu uchi, bali jumla uchi....! Na unapokuwa naye, hasa akiwa juu ya sarakasi, jaribu kumchunguza kama anavuta imagination yeyote....! Mkifanya mchezo muwashe taa, na mtupe mashuka pembeni kabisa, sio mnafanya ndani ya shuka....! Hakikisha kila siku jioni hupata maji ya uvuguvugu na muingie bafuni wote muoge, na mafuta mjipake pamoja...! Jaribu kuwa mtundu fulani, kuwa asiimalizie game kwa style moja, yaani jaribu kumkatishakatisha kwa kumbadilishia styles(mikao)....! Kwa kuzingatia haya, huenda ukashuhudia mabadiliko, japo wapaswa kuwa na subira....!
 
Dah, thanks konakali, maana hii ni kitchen party ya nguvu ... wewe ni mwalimu!!! any way, mengineyo hapa nayafanya ile ushauri nitaufanyia kazi kaka, amesafiri wiki hii bt akirudi tu nitayafanyia kazi haya, Inshaallah mungu atanisaidia...
 
Ndugu zangu,
Nimekuwa na mpenzi wangu muda mrefu sasa, tunaishi kama mume na mke, na kulingana na maisha tunayoishi, nina uhakika hana msichana nje, kinachonikwanza ni kila tukitenda tendo la ndoa baada tu ya kumaliza goli la kwanza basi harudii tena na wakati mwingine analala kabisa, na hata nikimshawishi kupata kitu cha pili , basi jogoo hasimami kabisa, na kwa wiki tunaweza tukakutana mara 3 -4 kwa kimoja kimoja tu, na sometimes huwa anasafiri wiki-wiki mbili, ila hata akirudi, utaratibu ni ule ule, atafanya mara moja tu, mpaka kesho yake au keshokutwa anasema inatosha kwa leo... hii ni utaratibu since nimeanza nae urafiki, mwaka sasa, je nichukulie hali ya kawaida au kuna tatizo... style nazitumia sana, ufundi mwingi nafanya, kwa kweli maandalizi ya mbinu tofauti daily nafanya.. ila lastly anafanya mara moja tu... je wandugu, hii ni kawaida au kuna tatizo hapa (simhisi kufanya nje kabisa kama ana msichana katu)

Mdogo wangu,

Si wanaJF wote ni watu wazima. Wengine ni makinda kabisa ambao hawajawai kulala na partner mpaka asubuhi. Kwa maoni yangu, hapa si mahali pazuri sana pa kutatua tatizo lako. Katika hili jamvi, unaweza kujenga au kubomoa. Ushauri wangu:
1.Ongea kwanza na mwenzio na kumueleza hali halisi ili upate undani wake.
2.Tafuta ushauri wa daktari kama mmeo ana tatizo. Inawezekana ikawa ni ugonjwa wa kisaikolojia, au wa kibailojia.
3.Epuka kumwaga siri zako za ndani kwa kila mtu. Huwezi jua, wewe unalalamika kupata 1 kwa kutwa, kuna wanaomba iwe hivyo angalau mara moja kwa wiki.

Ila nakupa angalizo kuwa ndoa sio ngono tu. Kuna wakati mpenzi wako anaweza kuugua ugonjwa unaopunguza au kumnyima kabisa uwezo wa kufanya ngono, ikiwa hivyo wewe utaachana naye?
 
Mkuu sokomoko, romance itatuchukulia muda mwingi kidogo, na tunaandaa kiukwelii kabisa, mpaka wote tunakuwa tayari kabisa, tendo lenyewe akipanda yaweza kuzidi 10m, ila sijawahi kuhesabu kabisa kwa kweli, ila kiufupi huwa ananiweka vitu haswa, na ndani ya tendo moja tunachange style zaidi ya 3 hivi tofauti...na lazima nifike tu kileleni, nae hufika vizuri sana, mkuu manukato nayatumia haswa kama nilivyofundwa na kungwi wangu kule mitaa ya chumbageni (tanga) ila huku bara nilipo jamani supu ya PWEZA adimu kweli, haipatikani (singida line)

Umenikumbusha Saida Gadafi ndio kungwi wako nini? najua utakuwa unajua sana mwana ngedere. Well hata hapo singida unaweza kutumia supu ya perege wa kindai au singidani..
 
Huyu mzee wa kimoja tu hahahahahahahahaha:whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Mdogo wangu,

Si wanaJF wote ni watu wazima. Wengine ni makinda kabisa ambao hawajawai kulala na partner mpaka asubuhi. Kwa maoni yangu, hapa si mahali pazuri sana pa kutatua tatizo lako. Katika hili jamvi, unaweza kujenga au kubomoa. Ushauri wangu:
1.Ongea kwanza na mwenzio na kumueleza hali halisi ili upate undani wake.
2.Tafuta ushauri wa daktari kama mmeo ana tatizo. Inawezekana ikawa ni ugonjwa wa kisaikolojia, au wa kibailojia.
3.Epuka kumwaga siri zako za ndani kwa kila mtu. Huwezi jua, wewe unalalamika kupata 1 kwa kutwa, kuna wanaomba iwe hivyo angalau mara moja kwa wiki.

Ila nakupa angalizo kuwa ndoa sio ngono tu. Kuna wakati mpenzi wako anaweza kuugua ugonjwa unaopunguza au kumnyima kabisa uwezo wa kufanya ngono, ikiwa hivyo wewe utaachana naye?

Kaka/dada
Ila huyo ambaye hajao/kuolewa/mtoto mdogo ambaye hatakiwi kujua haya hapa JF especially kwenye hii kona ya mapenzi/mahusiano anafuata nini? ukiona hivyo keshakuwa huyo...mwache asome ajifunze ukubwa
any way, hapa nimeweka ushauri tu, kozi nimeona experience za watu ni nyingi.

Siwezi kuachana nae coz nampenda, ugonjwa ni matokea tena unaonekana kama ni ugonjwa, sasa huu sijajua kama ni ugonjwa au la, ila kwa maoni yenu, nitaenda kwa daktari na nitazungumza nae
 
Dah, thanks konakali, maana hii ni kitchen party ya nguvu ... wewe ni mwalimu!!! any way, mengineyo hapa nayafanya ile ushauri nitaufanyia kazi kaka, amesafiri wiki hii bt akirudi tu nitayafanyia kazi haya, Inshaallah mungu atanisaidia...
Okay, nimejaribu tu kukupa vile ambavyo huenda hata mimi nikifanyiwa huenda nikahirisha safari isiyo ya muhimu....! Usimuache Mungu wako katika harakati zote hizi...! Vilevile waweza kumchokoza (by using a joking language) kwa kumwambia "Mume wangu/Baba ....... mimi nasali walau uweze leo kunipiga bao ......". Bila shaka kama yuko social na anajiamini atatabasamu kama sio kucheka, lakini ujumbe utakuwa umefika....!
 
Umenikumbusha Saida Gadafi ndio kungwi wako nini? najua utakuwa unajua sana mwana ngedere. Well hata hapo singida unaweza kutumia supu ya perege wa kindai au singidani..

Hahahaha, we kumbe wa kwetu lol, siku hizi kuna na Da mwanahawa , wa hivi karibuni tu... ni NOMA
 
okay, nimejaribu tu kukupa vile ambavyo huenda hata mimi nikifanyiwa huenda nikahirisha safari isiyo ya muhimu....! Usimuache mungu wako katika harakati zote hizi...! Vilevile waweza kumchokoza (by using a joking language) kwa kumwambia "mume wangu/baba ....... Mimi nasali walau uweze leo kunipiga bao ......". Bila shaka kama yuko social na anajiamini atatabasamu kama sio kucheka, lakini ujumbe utakuwa umefika....!

hiyo iko makini mkuu sana...
 
Kwangu....

Sijamuendea nje wala sifikirii kumwendea nje... Ni yeyee tu namsubiria na anapokuja always ananipa dozz ingawa ndio hiyo moja tu, ila wakati ananipa ile, huwa lazima nifike kileleni, ila ningewish tu baada ya lisaa limoja au mawili ya maongezi ya kitandani angenipa lingine.
 
mimi nina miaka 28 nae ana miaka 32, kulingana na tabia na ueledi wake, simhisi hata kidogo kuwa na mtu nje..any way siwezi kuapa ila naamini hata mtu,
Yeah kwa week 3-4 hakosi, ila ni once per day/one time, tukipiga moja usiku ni moja tu... lingine ni kesho au keshokutwa... ila kwa hilo la kwanza, huwa ananifikisha, ingawa nilitegemea angalau goal mbili for the time tunapokutana.. na especially ninavyosikia wenzangu wanasema waume zao ni goal 2-3 kwa wakati mmoja ingawa kuna interval ya time.. ndo namimi nawish ningekuwa hivyo.

what makes you so sure wakati unasema anasafiri hadi wiki mbili? stop being naive. Hujasikia mtu ni mwadilifu kupindukia na watu hawamwoni akiwa serius na infidel siku akifa wanaletwa watoto wa nje kwenye msiba?

Seat down and talk/discuss your feelings/pains with your partner. period!!
 
sasa na wewe unavimalizia wapi?

Sijamuendea nje wala sifikirii kumwendea nje... Ni yeyee tu namsubiria na anapokuja always ananipa dozz ingawa ndio hiyo moja tu, ila wakati ananipa ile, huwa lazima nifike kileleni, ila ningewish tu baada ya lisaa limoja au mawili ya maongezi ya kitandani angenipa lingine.
 
hahahaha, we kumbe wa kwetu lol, siku hizi kuna na da mwanahawa , wa hivi karibuni tu... Ni noma

basi tumia maujuzi yake kumfanya jamaa agonge vingi vingi nikisafiri kwenda mwanza nitapita singida nilale japo usiku mmoja sie ndugu bwana na mie kwetu tanga raha.
 
what makes you so sure wakati unasema anasafiri hadi wiki mbili? stop being naive. Hujasikia mtu ni mwadilifu kupindukia na watu hawamwoni akiwa serius na infidel siku akifa wanaletwa watoto wa nje kwenye msiba?

Seat down and talk/discuss your feelings/pains with your partner. period!!

Nimekupata mkuu, ila ndo maana nikasema simhisi, ingawa siwezi kuapa kama hana mtu ila kutokana nataratibu za maisha tulizokuwa nazo since biggining naweza kusema hivyo... sasa ina maana hata akiwa holiday nami mwezi mzima tulishakuwa out kwenye matembezi mbona hali ni ile ile?
 
Well, sasa leo ukajaribu kama ifuatavyo;

  1. Akifika mpokee kama kawa, mvulie viatu then msindikize bafuni mkaoge pamoja, mkitoka huko mpake mafuta huku ukimkanda viungo vyake kama miguu, mikono, mgongo, kifua nk. mkae kitandani hadi jioni kabisa, japo usimpe tunda. Hii uifanye baada ya kumpatia kitu kama bites, bamoja juice ya matunda...!
  2. Mdadisi taratiiibu, tena bila kuonesha kupaniki kama huwa anakuwa na mawazo tofauti na mchezo awapo kwenye game, huku ukimfariji, muoneshe kuwa engependa akufikishe hatua gani kitandani, mpatie matarijio yako. Mhakikishie kuwa huna mwingine, na wala haupo tayari kumpata na ndio maana unamshirikisha swala kama hilo...!
  3. Mfariji juu ya maisha ya kawaida, ujue alichokuwa akitarajia maishani mwake na mafanikio, au uwelekeo wa kufanikiwa e.g, huenda alitarajia awe na nyumba nzuri ifikapo 2010, lakini hadi sasa anapangisha, tena bila hata kiwanja...! Mshauri juu ya ukubwa wa familia inayomtegemea kama ipo, huenda inampa headache....!
  4. Kamwe usione kutafuta dozi huko nje ndio suluhisho, bali ni kujaribu kumwelewa, kumtengeneza yeye akufae na kuridhika naye...! Ujaribu kuitambua nature ya kazi yake na umuoneshe hilo...!
  5. Muingiapo chumbani sio mnabaki nusu uchi, bali jumla uchi....! Na unapokuwa naye, hasa akiwa juu ya sarakasi, jaribu kumchunguza kama anavuta imagination yeyote....! Mkifanya mchezo muwashe taa, na mtupe mashuka pembeni kabisa, sio mnafanya ndani ya shuka....! Hakikisha kila siku jioni hupata maji ya uvuguvugu na muingie bafuni wote muoge, na mafuta mjipake pamoja...! Jaribu kuwa mtundu fulani, kuwa asiimalizie game kwa style moja, yaani jaribu kumkatishakatisha kwa kumbadilishia styles(mikao)....! Kwa kuzingatia haya, huenda ukashuhudia mabadiliko, japo wapaswa kuwa na subira....!

Msg sent
yangu:redfaces: :redfaces:
 
basi tumia maujuzi yake kumfanya jamaa agonge vingi vingi nikisafiri kwenda mwanza nitapita singida nilale japo usiku mmoja sie ndugu bwana na mie kwetu tanga raha.

Duh, hii kali sasa
 
Back
Top Bottom