Ndugu zangu,
Nimekuwa na mpenzi wangu muda mrefu sasa, tunaishi kama mume na mke, na kulingana na maisha tunayoishi, nina uhakika hana msichana nje, kinachonikwanza ni kila tukitenda tendo la ndoa baada tu ya kumaliza goli la kwanza basi harudii tena na wakati mwingine analala kabisa, na hata nikimshawishi kupata kitu cha pili , basi jogoo hasimami kabisa, na kwa wiki tunaweza tukakutana mara 3 -4 kwa kimoja kimoja tu, na sometimes huwa anasafiri wiki-wiki mbili, ila hata akirudi, utaratibu ni ule ule, atafanya mara moja tu, mpaka kesho yake au keshokutwa anasema inatosha kwa leo... hii ni utaratibu since nimeanza nae urafiki, mwaka sasa, je nichukulie hali ya kawaida au kuna tatizo... style nazitumia sana, ufundi mwingi nafanya, kwa kweli maandalizi ya mbinu tofauti daily nafanya.. ila lastly anafanya mara moja tu... je wandugu, hii ni kawaida au kuna tatizo hapa (simhisi kufanya nje kabisa kama ana msichana katu)