Kituku
Member
Join Date
Thu Nov 2010
Posts
41
Thanks
10
Thanked 3 Times in 3 PostsRep Power
0
Mtu ameondoa 'h' tu ili asituhumiwe kwa id theft! Majina yameisha au ni nini?
we unanitania ae 3-4 times a week ... that is not normal at all..
Usiwe unaamini sana maneno ya kijiweni na hata humu jf inabidi uchuje mambo si kila neno uambialo ni lakweli,jipime mwenyewe ndo uchukue maamuzi,kisa cha kweli mi nimeoa nina mke na mtoto tangu nimeoana na mke wangu hatasiku moja hakubali kurudia round ya 2,yuko radhi kwenda kila siku ila moja tu,nilivumilia na leo naona sawa tu,so kila kitu ni kuridhika na utafurahi kuliko hayo ma 3 unayo hitaji,roselyne1;1316920]mie naona hio dozi ni sawa,
mwanaume akipiga goli moja ni sawa ametembea miles na miles...
kama mnafanya mara tatu kwa week aisee aakuwa ametembea miles nyingi sana😎😎
kama unataka zaidi ya hapo ni kumuonea..hahhahah
lakini siriazz haya ya wenzio kuenda round mbili tatu umeyasikia wapi?
watu kumbe mnaaambianaga mambo kama haya?
Hahahahaha, kuna siri ndugu yangu siku hizi? hata humu kwenye JF huwa tunayasoma ndo hviyo tunapata matamanio
Hahah ......AD ulikuwa unamaanisha hapo au nimesoma vibaya, just checking ........LOLwe unanitania ae 3-4 times a week ... that is not normal at all..
Imebidi nicheke tu hapa.............. ila kabla hamjaona round hata tatu zilikuwa zinapigwa hahhaha.......... nasikia wakiingia ndani basi tenaUsiwe unaamini sana maneno ya kijiweni na hata humu jf inabidi uchuje mambo si kila neno uambialo ni lakweli,jipime mwenyewe ndo uchukue maamuzi,kisa cha kweli mi nimeoa nina mke na mtoto tangu nimeoana na mke wangu hatasiku moja hakubali kurudia round ya 2,yuko radhi kwenda kila siku ila moja tu,nilivumilia na leo naona sawa tu,so kila kitu ni kuridhika na utafurahi kuliko hayo ma 3 unayo hitaji,
hahahaha hizo salooni zenu izo....haya bana mwambie jamaa aache uvivu uwafurahishe mashosti zako...
Hapo unahaki ya kulalamika kumbe bado mtoto kabisa huyo kwanini anakuwa mzembe hivyo wanatoa 1 na kulala ni kama hawa wa kwetu sie 48 huko sasa 32 mmmhhh kuna shida hapo aisee kama si ana mwingine basi anafanyakazi sana na kuchoka. Cha msingi hebu kaa nae mzungumze sio mpaka wamarekani waambie mzungumze. Hii ifanye iwe kwa hisani yako
Ahahahaaaaaaah!Rizika na hilo moja. Ukilalamika sana utapewa nusu goli bure.
Ndugu zangu,
Nimekuwa na mpenzi wangu muda mrefu sasa, tunaishi kama mume na mke, na kulingana na maisha tunayoishi, nina uhakika hana msichana nje, kinachonikwanza ni kila tukitenda tendo la ndoa baada tu ya kumaliza goli la kwanza basi harudii tena na wakati mwingine analala kabisa, na hata nikimshawishi kupata kitu cha pili , basi jogoo hasimami kabisa, na kwa wiki tunaweza tukakutana mara 3 -4 kwa kimoja kimoja tu, na sometimes huwa anasafiri wiki-wiki mbili, ila hata akirudi, utaratibu ni ule ule, atafanya mara moja tu, mpaka kesho yake au keshokutwa anasema inatosha kwa leo... hii ni utaratibu since nimeanza nae urafiki, mwaka sasa, je nichukulie hali ya kawaida au kuna tatizo... style nazitumia sana, ufundi mwingi nafanya, kwa kweli maandalizi ya mbinu tofauti daily nafanya.. ila lastly anafanya mara moja tu... je wandugu, hii ni kawaida au kuna tatizo hapa (simhisi kufanya nje kabisa kama ana msichana katu)
Swali la nyongeza waheshimiwa wanajamii,
Kama goli la kwanza linatoka within 5minutes..unafanyaje hapo kuongeza walau huo muda?
Mkuu hii yako nadhani ni mada ingine inahitaji thread mpya hii!:A S-coffee:
Acha hizo samora...toa mawazo pliz!
CBZ dakika Tano kamoja ka kwanza si rahis ni ndani ya Sekunde tu..
Mi namshauri kuwa anahitaj kuongea nae ilikujua Tatizo ninini..
Halaf ujue kwamba sasahivi kuna tatizo kubwa sana kwa Wanaume wengi sana hapa Tanzania wamepungukiwa na Nguvu za Kiume,, inawezekana na yeye yupo kwenye mkumbo huo,,