Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

Kishnajr

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
407
Reaction score
392
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
 
Kuna dem nko nae kwny mahusiano sas hv yapata mwezi na k2,ana mtoto mdogo wa miezi km 7 hvi.
-Je mtoto ni wako?
Asbh ya leo nmejihimia job,yeye memuacha kalala kitandani kwangu.
Fanya utaratibu wa kuhama hapo haraka iwezekanavyo.

Hapo hauna mke/mpenzi, Huyu sio mtu sahihi wa kufanya naye maisha.

Nenda kaanze maisha sehemu nyingine na utapata mwanamke sahihi kwako.
 
Andika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
We hujaon hapo nimejihimia job toka saa kumi usk. Km huna ushaur usilopoke tu kiongoz
 
We jamaa wewe, kama ana mtoto wa miezi 7 nawe una mahusiano naye ya miezi 2 means alianza kunyanduana na wewe akiwa na mtoto wa miezi 5! Halafu pia mtoto si wako?

Halafu sasa unaomba ushauri maana anachepuka! Chief hayo matukio huoni tuu? Ushauri gani unaoutafuta hapo? Kuishi na malaya au nini?
 
Mnapataga wapi ujasiri wa kutembea na wanawake wenye watoto wadogo ambao hata mwaka hawajatimiza. Kwa jinsi nilivyoelewa huyo mtoto ni wake na mtu mwingine.

Hata hiyo k itakuwa imekaza kweli?? Mixer shombo la maziwa, bado kidume umekaza fuvu hapo hapo na kuomba ushauri juu???

Sasa ushaona mpaka msg huku unataka ushauriwe nini?? Ni wazi yupo na wewe kwa faida zake binafsi kama kupata yaya wa bure wa kuangalia mtoto wakati yeye anaenda kuuchezea kwa mzazi mwenzie.

Hebu tuweni wanaume kwa vitendo basi. Sio mkeo, huna mtoto nae unang'ang'ania ili iweje.
 
Hajui kuwa yeye ndio mchepuko! Hahahahaha anatembea na mke WA MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…