uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Na kesi za ubakaji, kalala na mtoto wa mtu ndaniUwe unatumia condom kijana, mjini magonjwa ya zinaa mengi na michezo ya kubambikana watoto ndo usiseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kesi za ubakaji, kalala na mtoto wa mtu ndaniUwe unatumia condom kijana, mjini magonjwa ya zinaa mengi na michezo ya kubambikana watoto ndo usiseme
kama huna uwezo wa kumuacha usimchunguze wala cm yake usiigusi we tulia tuliiiiiiiiiiii kama maji mtungini kwasababu haina makombo si anaipiga maji tu inarudi upiya[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.
Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.
Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.
Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.
Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.
Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.
Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
mbona kaandika akiwa kalume tuAndika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
We jamaa wewe si umtimue tu.Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.
Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.
Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.
Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.
Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.
Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.
Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
ubavu huo hana akae atulie tu amegewe na wajanja-Je mtoto ni wako?
Fanya utaratibu wa kuhama hapo haraka iwezekanavyo.
Hapo hauna mke/mpenzi, Huyu sio mtu sahihi wa kufanya naye maisha.
Nenda kaanze maisha sehemu nyingine na utapata mwanamke sahihi kwako.
Mwanaume ndio anazingua.Dah kuna Wanawake Zero brain [emoji3064][emoji3064]Pole sana kaka anyway nakushauri Uhame hapo.
Like seriously?😆😆😆😆 unazingua DaktariSasa hapo unataka ushauri gani??🙄
Msamehe muendelee na maisha!
kweli kongozi we tulia nae tu ila usimchunguze wala cm yake usiiguse we piga kazi tu mpe hela ya matumizi akitoka usiku we lalatu akiludi ukiitaji piga ngoma tu haina makombo wanawake si kuhizi washida sana ukimuacha shauliyako utaludi kuwa unanunua kila siku kwa dada poa 5000We hujaon hapo nimejihimia job toka saa kumi usk. Km huna ushaur usilopoke tu kiongoz
Huu utaratibu wa kuhama jamani 😂😂😂nyumba nyingi zitabaki baba,,hebu badilisheni huu ushauri😂... Kifo nje nje aiseeFanya utaratibu wa kuhama hapo haraka iwezekanavyo.
Kwel kbsBasi ni wazi umekutana na gube gube la dar likakuchanganya.
Kwa jinsi ilivyo ni swala la muda utaambiwa mtoto uliyekuta keshazaliwa ni wa kwako na wewe hutopinga.
Siku zote nashauri wanaokuja dar kutafuta maisha waepuke sana kuanzisha mahusiano kwa haraka. Kaeni msome alama za nyakati la sivyo mtaangukia majumba mabovu.
Huu mji una laana. Mfano mzuri huyo demu wako, bila fedheha anakipigisha akiwa na mtoto mchanga huku ana mahusiano na mtu mwingine (wewe).
Na ukichunguza hata yeye alilelewa hivyo hivyo akiona mama anakitembeza ovyo bila kumjua baba yake halisi. Hatma hiyo hiyo ndio itamkuta huyo mtoto wake.
Pengine msg uliyoiona ni ya mmoja tu, kuna uwezekano mpo zaidi ya kumi.
Jitoe haraka hapo kabla hujapewa HIV uishie kuwapa tabu watu wa kijijini kwenu kukuvalisha nepi za kaniki ukiwa hoi unajiharishia.
kuliko kukodi dada powa kila siku sh 5000 bora huyo mwenye mtotoMnapataga wapi ujasiri wa kutembea na wanawake wenye watoto wadogo ambao hata mwaka hawajatimiza. Kwa jinsi nilivyoelewa huyo mtoto ni wake na mtu mwingine.
Hata hiyo k itakuwa imekaza kweli?? Mixer shombo la maziwa, bado kidume umekaza fuvu hapo hapo na kuomba ushauri juu???
Sasa ushaona mpaka msg huku unataka ushauriwe nini?? Ni wazi yupo na wewe kwa faida zake binafsi kama kupata yaya wa bure wa kuangalia mtoto wakati yeye anaenda kuuchezea kwa mzazi mwenzie.
Hebu tuweni wanaume kwa vitendo basi. Sio mkeo, huna mtoto nae unang'ang'ania ili iweje.
Pole mdogo wangu.naweza sema unasubiri tu mda sahihi wa kuanza dozi.nikutakie maandalizi mema