Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

We jamaa wewe, kama ana mtoto wa miezi 7 nawe una mahusiano naye ya miezi 2 means alianza kunyanduana na wewe akiwa na mtoto wa miezi 5…! Halafu pia mtoto si wako?
Halafu sasa unaomba ushauri maana anachepuka! Chief hayo matukio huoni tuu? Ushauri gani unaoutafuta hapo? Kuishi na malaya au nini?
Nmekusoma vzr sn kiongoz. Huyu malaya kbsa alopitiliza
 
Huwa mna upumbavu mwingi sana nyie makitu. Sasa hapo ni ushauri gani unataka? Tukwambie kuwa huyo ni malaika aliteleza? Huyo ni malaya aliyekubuhu. Achana nae upesi. Mwanamke gani hata hajali ana mtoto anaenda kumbwatombwato ovyo ovyo, tena anakutoroka ndani ili aende kumbwato afu wewe unakuja kuomba ushauri. Umerogwa?
 
Reply zenu nimezielewa wadau,inaonesha jns gan mmechukia kuwaangusha wanaume ktk kuchukua maamuz. Sifanyi kosa tena.me sio wa dar,hapa nina miezi mitatu tu.
 
Ila ukiangalia vizuri ile connection ya yule Kamanda unagundua kuwa ni mtu wa visiwani sio mtu wa bars, Wana tabia chafu sana
 
Hapa ananitumia sms mbna umeondoka hujaniachia hela ya kula. Hvi viumbe bhn
 
Reply zenu nimezielewa wadau,inaonesha jns gan mmechukia kuwaangusha wanaume ktk kuchukua maamuz. Sifanyi kosa tena.me sio wa dar,hapa nina miezi mitatu tu.
Basi ni wazi umekutana na gube gube la dar likakuchanganya.

Kwa jinsi ilivyo ni swala la muda utaambiwa mtoto uliyekuta keshazaliwa ni wa kwako na wewe hutopinga.

Siku zote nashauri wanaokuja dar kutafuta maisha waepuke sana kuanzisha mahusiano kwa haraka. Kaeni msome alama za nyakati la sivyo mtaangukia majumba mabovu.

Huu mji una laana. Mfano mzuri huyo demu wako, bila fedheha anakipigisha akiwa na mtoto mchanga huku ana mahusiano na mtu mwingine (wewe).

Na ukichunguza hata yeye alilelewa hivyo hivyo akiona mama anakitembeza ovyo bila kumjua baba yake halisi. Hatma hiyo hiyo ndio itamkuta huyo mtoto wake.

Pengine msg uliyoiona ni ya mmoja tu, kuna uwezekano mpo zaidi ya kumi.

Jitoe haraka hapo kabla hujapewa HIV uishie kuwapa tabu watu wa kijijini kwenu kukuvalisha nepi za kaniki ukiwa hoi unajiharishia.
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.

Pumbavu
 
-Je mtoto ni wako?

Fanya utaratibu wa kuhama hapo haraka iwezekanavyo.

Hapo hauna mke/mpenzi, Huyu sio mtu sahihi wa kufanya naye maisha.

Nenda kaanze maisha sehemu nyingine na utapata mwanamke sahihi kwako.

Hawezi pata mwanamke sahihi maana akili yake ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom