Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

Hebu acha UFALA dogo. Unatufanya wanaume tukose heshima.

Hama hapo haraka usimwambie ulipohamia na usibadili laini ya simu. Akokutafuta mwambie nimeoa.
 
Mkuu mi naona unapaniki tu, amna watu wanapiga sana mechi za kirafiki kama wanawake, we ungemwambia akanawe tu afu ungeisugua usiku kucha ili asimuwaze uyo jamaa, japo ni vigumu kushindana na lile shimo ukashinda
 
 
Chapa mtoto wake
 
Duuuuh !! Ukajikausha kama hujui kinachoendelea au sio!!!!

Kama ni dawa basi itakuwa kakupa SHUNTAMA ile original toka Nshamba. Pole
 
Sasa mkuu si ufumbe macho ili usione?

Kwani sh ngapi?
 
Nakumaindi sana dogo, si kwa aibu hii unatutia wanaume. Yaani unageuzwa yaya wa mtoto, tena sio wako, halafu bila woga anaenda kugongwa. Kisha wewe unakuja kulialia hapa JF.

Yaani ningekuwa mimi ndio wewe (japo hata sitamani) ningeenda kumfungulia mlango. Angepitiliza kuchukua mtoto wake akalale nae kwa dada yake ndio imetoka.

Umeona sms, na kweli akatoka unashuhudia, kisha anaingia unalala nae kitanda kimoja, daaah wanaume tumebaki wachache.........

Usirudie tena kuleta stori za kizembe namna kwa wanaume
 
Nimepata hasira nimetamani kuporomosha matusi.
Kwani mtoa mada jinsia gani?
Dada ni tuwanaume twa mfumo huu tunaofanya wanaume kamili na mashababi Kama Mimi tuonekane nyoronyoro .
Wewe umepatwa na hasira ,Mimi nataka anipe labda hata namba yake nimpigie nimkataze udhalilishaji wa jinsia ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…