Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

-Je mtoto ni wako?

Fanya utaratibu wa kuhama hapo haraka iwezekanavyo.

Hapo hauna mke/mpenzi, Huyu sio mtu sahihi wa kufanya naye maisha.

Nenda kaanze maisha sehemu nyingine na utapata mwanamke sahihi kwako.
Kabisa hamna mwanamke hapo! Fukuza kabisa inaonekana mtoto sio wake
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
Kwani ulimuoa?
 
Kwani ulimuoa?
Namnukuu mleta mada! 👇👇👇
=
"ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi."

"Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa."
 
Tembea na dada ake ndugu...Dawa ya mwanamke ni mwanamke...
 
Andika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
Kutokusoma kwako na huna kazi ya maana ndo Mana umeamkia kariakoo tafuta hela matajiri hatupajui kariakoo
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
WEWE NI FALA MKUU
KUBALI HILI KWANZA

Halafu muache huyo mwanamke.
 
Andika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wee jamaa eti saa kumi na mbili umeshapata bidhaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpp. Ppp ppp. Pp pppmpp pp p pp ppmp. Pppppppppppppp pppm pppppp ppp m p ppm p. Ppmpp ppmpmpp p. P m p. P pppppp .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mwingine huyo achaneni kwa amani litabaki kuwa koloni lako siku ukijisikia kupasha kiporo unasuuza rungu saafi kabisa
 
Mkuu unalala na demu kitandani halafu anakuchomoka usiku wa manane anakwenda kupakuliwa na Dume Mwengine? Anaanzaje kupata hiyo nguvu na hamu ya kwenda kugongwa muda huo?
Unashindwa kufanya kazi yako vizuri hapana jengine, Acha uendelee kusaidiwa tu.
 
Duuh , ana mtoto miez 7 na sio wako then anatoka nje

Daah na ww unasema una mpenzi hapo ?? Kweli watu tunatofautiana
 
Mnapataga wapi ujasiri wa kutembea na wanawake wenye watoto wadogo ambao hata mwaka hawajatimiza. Kwa jinsi nilivyoelewa huyo mtoto ni wake na mtu mwingine.

Hata hiyo k itakuwa imekaza kweli?? Mixer shombo la maziwa, bado kidume umekaza fuvu hapo hapo na kuomba ushauri juu???

Sasa ushaona mpaka msg huku unataka ushauriwe nini?? Ni wazi yupo na wewe kwa faida zake binafsi kama kupata yaya wa bure wa kuangalia mtoto wakati yeye anaenda kuuchezea kwa mzazi mwenzie.

Hebu tuweni wanaume kwa vitendo basi. Sio mkeo, huna mtoto nae unang'ang'ania ili iweje.
[emoji23][emoji23][emoji23] usimlaumu sana ndio uwezo wake wakiuchumi unapomfikisha, yaani ndio anayeweza kumuafford kwamuda huo. Angezikimbia tamaa na kucontrol actions zake angeachana na mapenzi kwa muda huu kujenga uchumi ili awe stable kuchagua mtu amtakaye nasio wakumridhisha kwenye ngono.
 
Ni Bora ungetoka tu ajue umefaham sio kuka usha Mzee alafu ungekua mwepes pasipo maumivu yeye ndio angekua na mtihani anakwambia nini hapo ukimwambia atakwambia umeniona wapi si ungekuja kunikamata alafu mtot Miez 7 Tu ikifikia hatua ya mtoto kutembea itakuaje si💥💥
 
Back
Top Bottom