Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

kweli kongozi we tulia nae tu ila usimchunguze wala cm yake usiiguse we piga kazi tu mpe hela ya matumizi akitoka usiku we lalatu akiludi ukiitaji piga ngoma tu haina makombo wanawake si kuhizi washida sana ukimuacha shauliyako utaludi kuwa unanunua kila siku kwa dada poa 5000
Huu ushauri haujaconsider saikolojia ya jamaa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]. Shika na ujue, akili yake haitakaa itulie kamwe kama akiendelea kukaa na huyo mwanamke maana anaonekana kama amemweka moyoni kama mkewe nasio kimada nainaonekana roho ngumu ya kula na kipofu hana au hawezi hivyo atazidi kuumia tu maana hapo tayari tu kashastack. Hivo lililojema ni kumuacha na kujifunza kukaa mwenyewe, itakuwa mwanzoni ngumu ila atazoea na hata hamu ya kukaa na mwanamke itakuwa haipo, labda awe na hamu ya miezi saba au zaidi.
 
Mkuu ww ndio unachepuka na huyo demu kwa maelezo yako sema hujajijua tu. Ww ndio mchepuko wake kuwa makini usje fumwa.
 
Andika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
Hahahaah
 
SIKU HIZI HAKUNA MAHABA MAPENZI YA MKATABA NDIO MAANA NIMEAMUWA KUWA SINGLE BY ALIKIBA
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
Sasa sisi tukusaidie vipi? Tatizo mnapenda sana kuumia ndani kwa ndani. Hapo ulikuwa na chance mbili, ya kwanza alivyotoka akazuga anapeleka cm kwa dada yake, wewe ungeenda zako nje kupunga upepo, wakati wa kurudi angekukuta nje, au la, dada mtu alivyotoka kumfungulia, wewe hukutakiwa kuzuga, ilibidi na ww utoke nje ili umshuhudie akiwa anaingia ndani kutoka kwa basha wake. Baada ya hizo njia zote mbili, wala hukutakiwa kumsemesha, unauchuna kimya, unamuacha ajimalize mwenyewe ndani kwa ndani.

Kwavile uliamua kupotezea, basi endelea tu kupotezea mkuu
 
Utelezi unafanya muda mwingine wanaume tushindwe kufikiri. Bro hapo unataka ushauri gani Tena??

Hapo option ni mbili tu.
1. Achana nae ufanye mambo yako
2. La unampenda huwezi kumuacha, endelea nae ila vumilia kuchapiwa.

• Halafu acha ujinga mwanamke anagongwa unajua kabisa then unavunga ungeenda kukiwasha.
#TunzaHeshimaYaWanaume
 
Labda kama unasubiri kunengewa sanamu ila cha kusubiri mbona hamna dear piga kubwa kubwa
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
Achana na Singo Maza Bro, utajuta....
 
Mimi sikushauri uhame, cha kufanya we mbambie arudi kwa dada ake muwe mnakutana wakati wa mzagamuo. Mapenzi ya sasa usijiweke sana we piga mzigo akiuleta , siku akikaa mahaba unamkacha tu kiaina kwisha habari yake.
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
HIYO NI TABIA MBAYA MNO KWANN UISHI BILA KUJIAMINI , MI NAONA WEW UNAMATATIZO NDO MAANA MWENZAKO ANAFANYA HAYO ANAYOYAFANYA
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
Nikisema single mother hawatakiwi kuaminiwa na kuweka kambi, wananifakamia utafikiri mm ndio niliwazalisha. Mtu akishakua single mother ni sawa na kambale aliekauka, hakunjiki tena.

Wewe mtu ana mtoto wa miezi 7 tu, huon kama aliemalisha bado wanawasiliana na kuonana na kumuona mtoto?

Bro never trust a single mother while her baby dady can't trust her.
 
Andika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
Mpwayungu, wewe ni dish aisee[emoji1787][emoji1787]
 
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.

Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.

Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.

Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.

Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.

Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.

Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
mweke wazi ujue nini kinaendelea au kufa kiume yani ubaki nalo moyoni mpaka ufe
 
Pole
 
Back
Top Bottom