Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Utakapokuja yataka wewe yeye atakuwa hayataki.. Mapenzi yanamambo ya ajabu na kwasisi me tulivyonawivu sasa mkuu utajutia nafsi yako..🤣
Mueleze kuwa sahizi show kali 😂😂😂,,,hata wewe ulianzia huku!
 
Huyo demu humpendi la kwanza ila la pili ana utoto mwingi sababu mtu mzima akiwa haelewi kuwa kazini sio sehemu ya kuleteana mapenzi yenu atakuwa na akili mbovu tu! We demu unamuacha anaangalia season tu siku nzima unategemea kuna nini zaidi ya nyege za standard gauge kumuwasha.

Tafta demu mwenye majukumu anayejishughulisha uone kama atakuwa na huo ujinga wa text kila saa! Jifunze sio kila mwenye matako na sura nzuri anafaa kuwa mpenzi boya ww!
 
Mimi ni mmoja wa wanaokereka na mapenzi ya aina hiyo. Yaani mtu masaa yote mnachat tu, mkuu tafta mtu mzima mwenzio achana na hao watoto.
Hahahahahah tatizo ni kutokumpenda mtu aisee ila ukipata embe bolibo utaombea hata atumege text kila saa ila huwezi ziona utabaki njia panda tu 😂😂😂
 
Hili wanawake wengi sana wa Bongo hulifanya. Kama mtu umezoea yale mapenzi ya kizungu mpenzi wako anakupigia simu anakuuliza kwanza ''do you have a time.....?'' au ''.....are you busy.....?'' unaweza kumbwatukia vibaya sana. Nadhani wapenzi wengi wanaofanya hivi hawajawahi kufanya kazi ili kujua umuhimu wa muda. Ni kero. Unakuta pengine uko busy akipiga simu mara moja usipopokea hawezi kujiongoza akate ili ukipate muda baadae upige, na badala yake anapiga inaita mfululizo mpaka inakuwa kero.
 
Ushamba tu, mi napiga simu mara 2 tu! Usipopokea basi sipigi tena
 
Wakati penzi likichakaa atakua ye ndio anatuma mimeseji nakupenda mamy nakupenda sana i miss you anajibiwa "k"

Aache wenge ajifaidie penzi jipya
Hakuna kitu inauma kama kuandika maneno mengi kisha unajibiwa kwa herufi moja
 
Ni tabia za kiswahili kupiga simu mfululizo, piga simu mara moja/mbili asipopokea tuma sms kama kuna jambo la muhimu akiona atakujibu.
Kuna watu kweli hawajua kujali muda wa wao wala wa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…