Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Sio wabongo wa kike tu hata wa kiume wapo wenye tabia hizo za kijinga,we umempigia mtu simu mara moja imeitaaa hadi ikakata yenyewe,kuna ulazima gani wa kupiga tena muda huo huo zaidi ya mara tatu,na mi sms zaidi ya 5 juu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] mnakera kwa kweli
 
Ni kweli. Ni pande zote. Mimi ni mwanamme hivyo nimezungumzia upande wa pili. Ila nakubali ni tatizo la pande zote. Na siyo tu wapenzi. Mara nyingine unakuta hata wanandoa wanakera hivyo. Unajua sisi wafrika huwa tunadhani mtu akiwa mpenzi au mwenza wako basi uhuru wake anakuwa ameu-surrender kwako. Hata privacy anatakiwa asiwe nayo. Unakuta mtu anakuja ghafla anapokonya simu ya mwenzake na kuanza kupekuwa bila ruhusa.
 
Hivi kumchana mtu maukweli watu wanaona jau ama veepee? Mkuu hilo jambo we kama mwanaume unamwambia bwana eeh..mimi napenda hivi hivi na hivi basi. Mbona ishu ndogo sana au unaogopa atasepa jumla jumla
Kama akipita hivi bas hakuwa wa kwako sema saivi watu wanapenda kero sana. Amua bwana akili kumkichwa Man up niggah
 
Huyo sio wako tena.Jiongeze tu hapo.
 
Shangaa na wewe mkuu,eti kupekuana pekuana kwenye simu,kupigiana simu muda wote 24/7 ndo mapenzi.kama binadamu wakati mwingine unahitaji privacy,unahitaji muda wa kummis mwenzako,simu yake ishike lakini tambua sio mali yako,kama sio emergency ukimpigia simu mwenzio mara moja hajapokea tuma sms moja tulia,subiri akiwa na nafasi ya kuongea na wewe atakupigia.
 
Akianza kutokukutafuta mpaka wewe umtafute ata kama ni siku nzima,,tunaomba usije kumfungulia uzi hapa.
 
Sisi tusio na kazi tuna haki ya kupendwa pia...
 
She's a clingy type na huwa wanasumbuliwa na upweke au inferiority complex. Ukimuendekeza atakuja kuwa obsessive.
 
Mtie mimba atakuwa bize kulea mimba na hatimaye mtoto.
Kama huwezi tia mimba omba msaada tupo wengi wenye uwezo wa 5G.
Daaah hii comment siwezi pita bila kuijbu, kuna katoto kamoja kama miaka kama 22 nimekapiga mimba afu hata sina mpango nako, yani hapa nawaza tu wife akijua itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache mtoto afurahie na watoto wenzake...tafuta mkubwa mwenzie aliyekomaa kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…