Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Love is hard. It hurts a lot
 
Wewe una tamaa ya kufanya nao ngono lakini huna mapenzi nao. Huwezi kuamini ninachosema lakini kuna siku utakuja kuona ukweli wake. Baada ya kulala na huyo kimada ulinogewa kiasi cha kutaka kuendelea kuwa naye ili mfanye ngono. Ni kwa muda huu tu lakini kuna siku utaona kama anakusumbua na utajiambia mwenyewe uachane naye ili asivunje ndoa yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nmechekaa dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kale ka toto n shida aise
Kenyewe...... haroooo mamboo
Me.................Pow mambo
Kenyewe.........unafanini
Mimi ................nakula
Kenyewe..........unakula nini
Me ....................ugari
Kenyewe ............wa mahindi[emoji23]
Me ......................ndio
Kenyewe............ya kukoboa au yakusagiliza na mapumba[emoji23][emoji23]
Me......................[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaaaaaaaah
 

Ivi kumbe mapenzi yanagawanyika
 

Nakuunga mkono[emoji4]
 

[emoji4][emoji4][emoji4]yumo humu ameshaelewa maana ID yako anaijua
 
Mwanzo alikuwa kwenye kipind cha mpito, yupo na mtu wake wa zaman huku kakukubalia wew.

So sasa hivi kashaachana na mtu wake rasmi, kaamishia majeshi kwako kwa nguvu zote. Mpokee kwa mikono miwili, hayo ni mapunguvu madogo tu.

SUKAH
Hii comment imebeba mada yote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Penzi jipya ktk ubora wake. [emoji23][emoji23]
Hv kumbe likiwa jipya texts zinakuja mfululizo eeh

Nakumbuka Kuna katoto flan ka IFM kipind naanza nako ..kalikua kananichatisha hatari ..Yan sms za mwezi 2000 ziilisha katkat ya week ya pili ... Ila sahv tushazoeana ...Kwa mwez texts hazizid 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…