Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu ,mapenzi Yana nguvu sana kikubwa yawe mapenzi ya kweli sio ulaghai ,kwa hapo yote yanawezekana .Umbadili kabisaa mtu mzima hiv unadhan inawezekana? Labda umbadilishe
Sifa ya sentensi na sifa ya swali si uvijua?Hii ni sentensi au swali?
EHehehehw..nishawahi kwenda tabora mimi toka Dar kwaajili ya Manzi. 😂😂.Ndugu ,mapenzi Yana nguvu sana kikubwa yawe mapenzi ya kweli sio ulaghai ,kwa hapo yote yanawezekana .
Uliwahi safiri umbali gani kumfuata binti ? Je ilikuwa ni nguvu ya Nini kaa ?
Sawa ,seems Kama umebadili jina Ila nahisi ni mtu unayenijua ,ningekuwa nikilitizama hili jina Ila limekuwa jipya kwangu Leo Ila nahisi unanijua kiundani ,Insh'Allah mkawe na kheri kwenye penzi lenuInshallah ntafanya hivyo.
Sio mbaya maongezi laini tutakupa sisiNdio.
Tehee hee hee sure nakuelewa mkuu kukuita "mwamba" inaukakasi jamaa yaonekana amezoea lugha ngumu, unaweza kumshawishi kupunguza ukali au usela japo KUA MAKINI SANA kwani anaweza kuitafsiri hatua hiyo ya kushauri kama umemuona mhuni.Simaanishi alegeze ulimi ila nkimuita romantic names bas naye arespond vizuri sio kuniita mwamba!
Basi rafiki ,kwa lugha za kiume tutasema ulienda kupata tendo lakini uhalisia haikuwa kufuata penzi Ila ni mapenzi yalikujaa ndiyo ikawa safari maana hauwezi mfuata mtu ikiwa haujampenda .EHehehehw..nishawahi kwenda tabora mimi toka Dar kwaajili ya Manzi. 😂😂.
Sawa shukraniTehee hee hee sure nakuelewa mkuu kukuita "mwamba" inaukakasi jamaa yaonekana amezoea lugha ngumu, unaweza kumshawishi kupunguza ukali au usela japo KUA MAKINI SANA kwani anaweza kuitafsiri hatua hiyo ya kushauri kama umemuona mhuni.
Meanwhile mvumilie na ukimshawishi taratiiiiiiiiiiiiiiiiibu sana waweza kumwambia " natamini uniite 1,2,3" na siku akikuita hiyo onyesha kufurahi hii itamfanya abadilike. (Wanaume tunapenda kuwafurahisha wale tuwapendao)
Uzuri unajua kumlisha vizuri, akimaliza Dona anakula na kile muhimuNilivorudi nikapika tukala halafu Akala Tena
Wala hata sikufuata tendo. Nilikua nampenda tu. Yan imagine, mimi nasoma Dar yeye yuko Tabora na makaz ni Dar, ila akifunga chuo mimi ndio natika Dar kwenda Tabora nimsindike kurud Dar.. 😂😂.Basi rafiki ,kwa lugha za kiume tutasema ulienda kupata tendo lakini uhalisia haikuwa kufuata penzi Ila ni mapenzi yalikujaa ndiyo ikawa safari maana hauwezi mfuata mtu ikiwa haujampenda .
Ndivyo nisemavyo ni rahisi sana kumbadili mtu anayekupenda na vise versa is true
Sawa ,pamoja ndugu .Sikujui.