Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

Kuhusu ukandaji mwandishi atautolea Uzi maalumu
Mwandish ana umri gani kias cha kufungulia uzi Ukandwaji tu? Yaani sehem ndogo kabisa ya maisha ya kila siku inatangiwa umma?
 
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.

Binafsi nampenda sana na hii ni baada ya yeye kuonesha Kila dalili iliyo nzuri juu yangu.

Lakini tatizo lake ni Moja ana lugha ngumu, yani akiongea na Mimi utadhani anaoengea na msela nwenzake, mara utasikia ananiita majina magumu ukilinganisha na jinsia yangu na status yangu, majina kama jembe, jeshi, kamanda, ndo majina yangu siku hizi, licha ya mm kumuita romantic names ila yy harespond in a good way.

Binafsi sifurahii hali hii hata sjui nifanyeje Kuna muda nawaza ndo ataongea hivi na ba mkwe wake hivi🤔Mfano angalia mazungumzo ya simu baina yetu muda mfupi uliopita

(simu inaita)..
YEYE: Oy oy
MIMI: yes babe nambie
YEYE: kama Kawa?
MIMI: Fresh kabisa
YEYE: Pande zip?
MIMI: Nipo home kwa sasa ila nataka kutoka mara Moja.
YEYE: unaenda wapi?
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..

(Nilivorudi nikapika tukala halafu Akala Tena)
Ova.
Mbona yeye ana malaini sana mfano Mimi nikiikwambia Nina hamu na dudu ungeliitikiaje jingine je mchicha upo? hahaa hizo zinaitwa silent language huyo wa kwako hana silent language
 
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.

Binafsi nampenda sana na hii ni baada ya yeye kuonesha Kila dalili iliyo nzuri juu yangu.

Lakini tatizo lake ni Moja ana lugha ngumu, yani akiongea na Mimi utadhani anaoengea na msela nwenzake, mara utasikia ananiita majina magumu ukilinganisha na jinsia yangu na status yangu, majina kama jembe, jeshi, kamanda, ndo majina yangu siku hizi, licha ya mm kumuita romantic names ila yy harespond in a good way.

Binafsi sifurahii hali hii hata sjui nifanyeje Kuna muda nawaza ndo ataongea hivi na ba mkwe wake hivi🤔Mfano angalia mazungumzo ya simu baina yetu muda mfupi uliopita

(simu inaita)..
YEYE: Oy oy
MIMI: yes babe nambie
YEYE: kama Kawa?
MIMI: Fresh kabisa
YEYE: Pande zip?
MIMI: Nipo home kwa sasa ila nataka kutoka mara Moja.
YEYE: unaenda wapi?
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..

(Nilivorudi nikapika tukala halafu Akala Tena)
Ova.
aya sasa tujuane wewe kama mwanaume upo kundi gani hapa?
 
week 3 mshaanza kula na kula tena! Itakiwa chai
 
Sioni Kama Kuna shida maadam mnapendana,ipo anaweza akabadilika akakuita majina mazuri,huwa nafurahi Kuna watu wanapenda kila la heri kwenye mahusiano yenu
 
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.

Binafsi nampenda sana na hii ni baada ya yeye kuonesha Kila dalili iliyo nzuri juu yangu.

Lakini tatizo lake ni Moja ana lugha ngumu, yani akiongea na Mimi utadhani anaoengea na msela nwenzake, mara utasikia ananiita majina magumu ukilinganisha na jinsia yangu na status yangu, majina kama jembe, jeshi, kamanda, ndo majina yangu siku hizi, licha ya mm kumuita romantic names ila yy harespond in a good way.

Binafsi sifurahii hali hii hata sjui nifanyeje Kuna muda nawaza ndo ataongea hivi na ba mkwe wake hivi🤔Mfano angalia mazungumzo ya simu baina yetu muda mfupi uliopita

(simu inaita)..
YEYE: Oy oy
MIMI: yes babe nambie
YEYE: kama Kawa?
MIMI: Fresh kabisa
YEYE: Pande zip?
MIMI: Nipo home kwa sasa ila nataka kutoka mara Moja.
YEYE: unaenda wapi?
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..

(Nilivorudi nikapika tukala halafu Akala Tena)
Ova.
Una umri wa miaka mingapi na yeye ana miaka mingapi? Je mnakaa gheto ama mnaishi vipi. Ulishamkalisha chini na kumwambia haupendi akuite majina magumu hivyo?
 
Wote tupo under thirty, Kila mtu anaishi kwake, lakini tunapika na kupakua sehemu tunayotaka kwangu ama kwake.
Sjawahi kumwambia.
 
Kumbe hivyo?
Me nkajua anakwambia
Bebi naomba kyuma nitrombeh😁
 
Yani wote humu mmeamini kuwa mleta mada ni jinsia ya Kike?

Asee kumsoma mtu mistari mitatu tu inatosha kujua jinsia yake.
 
Back
Top Bottom