Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.

Binafsi nampenda sana na hii ni baada ya yeye kuonesha Kila dalili iliyo nzuri juu yangu.

Lakini tatizo lake ni Moja ana lugha ngumu, yani akiongea na Mimi utadhani anaoengea na msela nwenzake, mara utasikia ananiita majina magumu ukilinganisha na jinsia yangu na status yangu, majina kama jembe, jeshi, kamanda, ndo majina yangu siku hizi, licha ya mm kumuita romantic names ila yy harespond in a good way.

Binafsi sifurahii hali hii hata sjui nifanyeje Kuna muda nawaza ndo ataongea hivi na ba mkwe wake hivi🤔Mfano angalia mazungumzo ya simu baina yetu muda mfupi uliopita

(simu inaita)..
YEYE: Oy oy
MIMI: yes babe nambie
YEYE: kama Kawa?
MIMI: Fresh kabisa
YEYE: Pande zip?
MIMI: Nipo home kwa sasa ila nataka kutoka mara Moja.
YEYE: unaenda wapi?
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..

(Nilivorudi nikapika tukala halafu Akala Tena)
Ova.
Aaah lamamayee!?
Kwa baba mkwe utashangaa anamuita "shkamoo baba la baba/dingilai".
 
Mwanetu japokuwa hili jiwe umelitupa gizani lakini mimi binafsi halitonipata 🤒😎
 
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.

Binafsi nampenda sana na hii ni baada ya yeye kuonesha Kila dalili iliyo nzuri juu yangu.

Lakini tatizo lake ni Moja ana lugha ngumu, yani akiongea na Mimi utadhani anaoengea na msela nwenzake, mara utasikia ananiita majina magumu ukilinganisha na jinsia yangu na status yangu, majina kama jembe, jeshi, kamanda, ndo majina yangu siku hizi, licha ya mm kumuita romantic names ila yy harespond in a good way.

Binafsi sifurahii hali hii hata sjui nifanyeje Kuna muda nawaza ndo ataongea hivi na ba mkwe wake hivi🤔Mfano angalia mazungumzo ya simu baina yetu muda mfupi uliopita

(simu inaita)..
YEYE: Oy oy
MIMI: yes babe nambie
YEYE: kama Kawa?
MIMI: Fresh kabisa
YEYE: Pande zip?
MIMI: Nipo home kwa sasa ila nataka kutoka mara Moja.
YEYE: unaenda wapi?
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..

(Nilivorudi nikapika tukala halafu Akala Tena)
Ova.
Repeat Chorus
Ahaaa aaaaa umeyatimba🗣
Ahaaa aaaaa umeyatimba🗣
Ahaaa aaaaa umeyatimba🗣
 
Wala hata sikufuata tendo. Nilikua nampenda tu. Yan imagine, mimi nasoma Dar yeye yuko Tabora na makaz ni Dar, ila akifunga chuo mimi ndio natika Dar kwenda Tabora nimsindike kurud Dar.. [emoji23][emoji23].
Mapenzi ni ya kifala sanaaa.
Nilikuaga sina akil sijui.??!!!

Maana nikikumbuka niliokua nayafanya those 10 yrs ago, kwakwel nabak najicheka sana
Maisha ni hatua mkuu[emoji23]
 
Back
Top Bottom