Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

Nilikua na demu wa kikenya mzuri sana anaitwa lilian aisee yuko very romantic alafu mimi sasa namjibu kisela akawa anani mind sana nikamuambia ndivo nilivo aisee badae akanizoea
 
simu inaita)..
YEYE: Oy oy
MIMI: yes babe nambie
YEYE: kama Kawa?
MIMI: Fresh kabisa
YEYE: Pande zip?
MIMI: Nipo home kwa sasa ila nataka kutoka mara Moja.
YEYE: unaenda wapi?
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..
Kwa hayo Maongezi hebu angalia amekusave jina gani, huyu atakuwa player kama mimi amekusave Jembe langu mke halisi akiona sms anajua anongea na Mwana wake tu🤣🤣
 
Kwanini unasema hivyo?
Yaani ushindwe kutofautisha lugha unayopaswa kutumia kwa mpenzi wako na kwa washkaji zako si madharau hayo.
Wewe unampenda na yeye hakupendi na huwezi kubali hilo mamiloo.
 
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.

Binafsi nampenda sana na hii ni baada ya yeye kuonesha Kila dalili iliyo nzuri juu yangu.

Lakini tatizo lake ni Moja ana lugha ngumu, yani akiongea na Mimi utadhani anaoengea na msela nwenzake, mara utasikia ananiita majina magumu ukilinganisha na jinsia yangu na status yangu, majina kama jembe, jeshi, kamanda, ndo majina yangu siku hizi, licha ya mm kumuita romantic names ila yy harespond in a good way.

Binafsi sifurahii hali hii hata sjui nifanyeje Kuna muda nawaza ndo ataongea hivi na ba mkwe wake hivi🤔Mfano angalia mazungumzo ya simu baina yetu muda mfupi uliopita

(simu inaita)..
YEYE: Oy oy
MIMI: yes babe nambie
YEYE: kama Kawa?
MIMI: Fresh kabisa
YEYE: Pande zip?
MIMI: Nipo home kwa sasa ila nataka kutoka mara Moja.
YEYE: unaenda wapi?
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..

(Nilivorudi nikapika tukala halafu Akala Tena)
Ova.
week 3 tu ushakubali na kuliwa Duuh
 
Back
Top Bottom