Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

Lakini tatizo lake ni Moja ana lugha ngumu, yani akiongea na Mimi utadhani anaoengea na msela nwenzake, mara utasikia ananiita majina magumu ukilinganisha na jinsia yangu na status yangu, majina kama jembe, jeshi, kamanda, ndo majina yangu siku hizi, licha ya mm kumuita romantic names ila yy harespond in a good way.
Huu ndio uhalisia wake, cheza na beat yake, kama kweli unampenda, Sio wakati rafiki sasa wakuitaji yale mahusiano ya kitamthilia ambayo yamewaathiri vijana wengi KE/ME. Shukuru umempata mtu asiye fake tabia yake.
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
 
Sema umenifurahisha sana kwamba jembe akala na akala tena🤣🤣je akiwa anakula tena hua hatoi maneno magumu
 
Back
Top Bottom