Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Sijui nina tatizo gani siku hizi, nikikutana na mwanamke anaongelea changamoto za mahusiano yake huwa kichwa kinaanza kuuma ghafla nakuwa nahisi kama nasikiliza muziki wa kukera au sauti ya kitu kinachokera.
Sijui nina shida gani, huwa muda huo huo naomba udhuru nasepa. Hii hali imenianza mwaka jana. Niligundua ninayo baada ya kuongea na X girlfriend ambaye kwasasa kaolewa na ana watoto watatu, alinialika sehemu ili tuonane tupige story tu maana sijaonana nae kitambo sana. In the middle of our conversations akaleta story za changamoto zake na its like alikuwa anataka sana tuongee ili anambie ya moyoni, mimi ghafla nikaanza kupata kitu kama hasira kifuani, kichwa kikawa kinazizima yaani kama mtu ambaye amepewa taarifa ya kukwaza na kuudhi sana akiwa kwenye kikao.
Tokea siku hiyo hali imekuwa hivyo.
Kama hapa namsoma huyu bi dada tayari naanza kupatwa na irritation ya kifikra naona kama nasoma sijui vitu gani aiseee.