Mpenzi wangu anapenda ngono sana, nashindwa kumhimili


Unasumbukaje na mtu asiye mkeo? Usituchoshe Bwana
 
Pole sana. Binadam hatukuumbwa sawa. Kuna wengine KE na ME wanakuwa na genye kama fisi maji. Ilishawahi kunikuta hii . Ilibidi nile kona tu ukizingatia nature ya kazi yangu ni kusimama sana Site.
Tumetofautiana mkuu,
Hao wa hivo mi kwangu ndo favorite [emoji4]
 
Wengine ni wagonjwa. Hebu google na usome - nymphomaniac. Yaweza kuwa hali ya ugonjwa.
 
Sema huyu mwanamke jamani anapenda kufanya mapenzi balaaa[emoji119][emoji119][emoji119]


Huyo anapenda kufanya ngono sana na sio kupenda kufanya mapenzi.

Kufanya mapenzi huwa kunakuwa na kiasi na ni mchakato wenye kuhusisha vionjo vingi ikiwemo mawasiliano!
 
Kwani kabla ya kukutana nae mwenendo wake uliweza kuujua?

Mwengine unaweza kuta alikuwa malaya au kahaba wa jiji wa kimyakimya alozoea kushughulikiwa kila mara na za aina tofauti tofauti unazani wewe mmoja utamuweza?!

Halafu hapo si kazi unawezio mnashirikiana.
 
Huwez amini ni mtoto wa mzee wa kanisa
 
kama mcongo umegoma kuna kingine??? hamna namna we ishi kama digidigi tu uwe unamkimbia kimbia
alipata mcongo fek maana siku hiz matapeli ni weng sana wafanyao biashara za dawa hiz! waweza uziwa unga wa majan ya mjohoro ukajidai umekula mcongo, kumbe hamna kitu!!

men tuwe makin sana ktk kuztumia dawa hiz, waweza jikuta unaharib zaid kuliko kutibu
 
Fanya sana mazoezi, kula vizur piga show.
#kwan yukwapi huyo Mwanamke?
 
Ilimradi papuchi ni mbichi mbichi wewe ikamue tu aisee- itafune haswaa
 
Mwanamke ukimkuna vizuri akaridhika wengi huwa wanatulia na kukaa hata week mpaka mwezi brother kuna vingi vya kujiuliza tuliza akili na wala usipanic wala kuboreka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…