Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu,

Money Penny: Hongera

Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo kwako hapa

Money Penny; nambie mpendwa

Mpendwa: Yani mpenzi huyu ameonyesha dalili zote za kunitaka nimpe utamu, nikamtolea uvivu siku moja akasema kweli anataka utamu toka kwangu, nikamkatalia, akasema basi Sawa atavumilia nikiwa tayari kumpa nitampa

Nikamwambia Mimi SITOI sehemu zangu za siri mpaka umenioa, akasema sawa

Mpaka nakuandikia SMS hii hatujawasiliana tena, nifanyaje penny?

Money Penny: haya wale wanaume mliookoka, muje mumsaidie mpendwa mwenzenu ame-stuck huku
 
Unamkazima jama wawatu afu ukute bikra enyewe huna wanawake bana
Kwani mwanaume alifuata bikra Kwa mwanamke au mapenzi au tendo la ndoa?
Kama anataka bikra si aende Kwa masista
 
Back
Top Bottom