mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 238
- 570
Kama nawewe umeokoka muache huyo, ni mbwa mwitu.Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu,
Money Penny: Hongera
Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo kwako hapa
Money Penny; nambie mpendwa
Mpendwa: Yani mpenzi huyu ameonyesha dalili zote za kunitaka nimpe utamu, nikamtolea uvivu siku moja akasema kweli anataka utamu toka kwangu, nikamkatalia, akasema basi Sawa atavumilia nikiwa tayari kumpa nitampa
Nikamwambia Mimi SITOI sehemu zangu za siri mpaka umenioa, akasema sawa
Mpaka nakuandikia SMS hii hatujawasiliana tena, nifanyaje penny?
Money Penny: hawa wale wanaume mliookoka, muje mumsaidie mpendwa mwenzenu ame-stuck huku
Mungu atakupa mume mwema kwa wakati wake