Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

Hivi dunia hii ya sasa kuna mtu mwenye ujasiri wa kuoa/olewa na mtu ambae hajam test kweli? Hivi huyo dada akiolewa halafu ukute jamaa hasimamishi itakuaje humo ndani? Au yeye anachowaza ni kuvaa shela tu..?
 
Hivi dunia hii ya sasa kuna mtu mwenye ujasiri wa kuoa/olewa na mtu ambae hajam test kweli? Hivi huyo dada akiolewa halafu ukute jamaa hasimamishi itakuaje humo ndani? Au yeye anachowaza ni kuvaa shela tu..?
Atafanya maombi itasimama Kwa imani
 
Kwakuwa sex ni hitaji la mwili Kwa Mtu me au ke aliyekamilka,na kwakuwa mwili hushindana na roho(endapo ameokoka kweli) basi yampasa Mtu Me au Ke kuuchosha/ kuushughulisha mwili zaidi katika kazi za mikono na akili,na kuzidisha neno la Mungu katika nafsi yake ili kufunika wazo la sex..
Angalizo; Punyeto sio mbadala...
 
Unaweza kumpa utamu na ukaolewa na usimpe na usiolewe,

All in all mapenzi hayana formula, kwani wew huna ugwadu money penny mbless mwana utamu bhana kikubwa mpime ili uwe salama na yeye awe salama[emoji38][emoji38]

Mimi mwanamke akininyima utamu nayeyuka MITA 80000
 
Amen pastor
 
Kuna waliotoa utamu wakaachwa solemba na vilio
 
Huyo mlokole demu nae jau tu. Unakibanana bana mpk lini? Mchungaji tu usiku anakwichikwichi na mkewe sasa yeye anamnyimia nini mpenzi wake?
 

Sa utaoaje mwanamke hujawah kumtomba ? Mbona haiwezekani…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…