Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

Kama nawewe umeokoka muache huyo, ni mbwa mwitu.
Mungu atakupa mume mwema kwa wakati wake
 
Kawa kimya kwa muda gani,isije kuwa mwezi tu? Labda anajizuia na vishawishi kwa kuweka distance wakati anasubiri kumuoa๐Ÿคฃ.

Kawa kimya neno pana, inawezekana kamaanisha jamaa hampi tena fedha?Vipi na fedha na zawadi za jamaa alikuwa anasema pia atapokea siku akiolewa?

Vipi na yeye binafsi huyo mwanamke, anamudu vipi ukame? Wanaume na sisi sometimes tuna machale, huenda kaona kitu, huenda mwanamke ana issue yake pembeni.

Amtafute sasa, washauriane wafunge ndoa fasta tu, sherehe baadae. Ili wasiteseke.
 

Pesa na zawadi alikuwa hachukui za Huyo mwanaume
Amekaa kimya zaidi ya mwezi sasa hamna mawasiliano

Kwanini mwanamke amtafute mwanaume wakati mwanaume ndio aliemfuata kumtaka kimapenzi??

Ukame WA mwanamke unadhibitiwa na Yesu Kristo maana mwili wake NI hekalu la Roho Mtakatifu, hayo mambo ya mwili amemwachia Bwana Yesu

Lastly,
Ukisema umeokoka, tuonyeshe basi na Kwa vitendo sio kumtania Mungu na kuumiza mwili WA Kristo just because unazo thamani za kidunia
 
Uko sawa, na mchizi yuko sawa. Kanisani haonekani?

Hata tawi jingine la kanisa hilo, huenda yupo katika mfungo akimuuliza roho mtakatifu. Mwezi mmoja ukichanganya na race za siku hizi kimaisha ni siku chache, amsubiri amalize tafakuri na tafakari zake. Kama anashindwa amuulize tu
 
ivi kwani Yesu ameishiwa wanaume mpaka ubembeleze mwanaume mmoja kama unabembeleza kuingia Mbinguni?

Yesu ana wanaume maelfu wasiopiga goti kwa baali, amejibakizia watakatifu wanaosubiria unyakuo why waiting on someone ambae anachezea neema ya Kristo kwa watoto wa Kristo?
 
๐ก๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐จ๐ค๐จ๐ค๐š ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐œ๐ก๐ข๐ง๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ญ๐จ๐ฏ๐ฎ ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ง๐ข ๐ฌ๐ž๐ก๐ž๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ฌ๐ก๐ž๐ญ๐š๐ง๐ข ๐ญ๐ฎ ๐ฅ๐š๐ณ๐ข๐ฆ๐š ๐ฎ๐ญ๐š๐ง๐š๐ฌ๐š. ๐”๐ค๐ข๐š๐ง๐ ๐š๐ฅ๐ข๐š ๐’„๐’‚๐’Ž๐’†๐’๐’•๐’๐’† ๐’‘๐’–๐’”๐’”๐’š ๐’‰๐’‚๐’•๐’‚ ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’‚๐’๐’‚ ๐‘ฏ๐‘ฐ๐‘ฝ ๐’‚ ๐’„๐’–๐’„๐’–๐’Ž๐’ƒ๐’†๐’“ ๐’˜๐’Š๐’๐’ ๐’”๐’•๐’‚๐’๐’… ๐’”๐’•๐’“๐’‚๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’•.
 
kiru
kuna watu hawatoi wanamcha Mungu acha drama unaonekana weird
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ