Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Upo kama mimi mkuu
 
Tatizo umelisem kwenye Heading...

Kiwanja ni Chako na Sio Chenu....; Swali dogo tu, kwa mtizamo wako hio nyumba akisema ni yake na sio yenu utalichukuliaje hilo ?

Nadhani njia pekee ya nyie wabinafsi ajenge yake kwenye kiwanja chake na mjenge yenu kwenye kiwanja chenu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…