Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

jannelle

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
824
Reaction score
1,581
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingixe kwenye ujenzi haina haja ya kukua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property [emoji848] sio ubinafsi huo,? Na why muwaze kuachana mpka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Huyo ni mwamba, apewe nyundo yake
 
Bora mwanamke ajenge kwenye kiwanja cha Mwanaume. Ila sio kiwanja cha Mwanamke we mwanaume ukajenge imekula kwako.

Mimi mke wangu ana pesa ila sijawahi mwambia achangie hata ujenzi wala sitaki anichangie hata Ada ya watoto. Hata Chumvi kununua sitaki.

Pesa zake akajenge kiwanja kingine atapangisha apate pesa.

Sitaki dharau mimi😆😆
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingixe kwenye ujenzi haina haja ya kukua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property [emoji848] sio ubinafsi huo,? Na why muwaze kuachana mpka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Mpenzi wako yupo njia kuu, nashauri apewe maua yake...🤗
 
Kama una mapenzi hasa na huyo mwanaume badilisha jina la kiwanja lisome lake.

Hapo hata yeye atakuwa na amani kujenga, kinyume na hapo kila mtu abaki na kilicho chake. Yeye abaki na pesa zake na wewe ubaki na kiwanja chako.

Maisha sio rahisi hivyo kama unavyotaka kujiaminisha.

Swali jepesi tu, ingekuwa wewe kakwambia ujenge kwenye kiwanja chake ungekubali?
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Simple, andikishaneni Prenuptial agreement. Dunia ina mengi hii
 
Back
Top Bottom