Unajiingiza kwenye lindi la matatizoNina mpenz wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto
Mkuu,tenda wema nenda zakoNina mpenz wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote, Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi ana ataka ni Bebe majukum
Kama unaona huwezi kumuhudumia mwanamke mwenye Mtoto basi tafuta mwanamke asiyekuwa na MtotoNina mpenz wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote, Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi ana ataka ni Bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavaz na Kodi na matibabu. Kwangu Mimi ainiingii akilini wakati hatuishi pamoja kila mtu anaishi kwake. lakin tunaishi wilaya moja,, na
Sio vizuri ivo....Yaani 'unainamishwa live live ' na unakuja kuomba ushauri??
Ushaanza kunywa mwenyewe Hilo limbwata pengine...
Mimi nilimwambia siwez kulipa Ada %100, Baba mtoto yupo hai na kanizid kiuchumi na nikijana kama mimi tu, na alikuwa anatoa huduma vizur sema baada ya kujifungua tu jamaa haka kata Mawasiliano na huduma hatoa ya mtoto.hakuna ubaya kama uwezo wa kuhudumia upo.
mbona watu wengine huwa mnaona hapo kuna ugumu sana??!!!
km uwezo upo fanya hivyo hakuna ubaya wowote
Naomba nikuulize swali moja muhimu sana.........Baba mtoto yupo na kijana kama Mimi na kanizid kiuchumi
Naomba nikuulize swali moja muhimu sana.........
Una malengo Gani na huyu single mother wewe kama wewe una nia Gani
Pengine kuna mambo hakuyaelewa juu ya mzazi mwenzie ndo maana akaogopa kuhudumia, ukute mtoto alikuwa na baba waneBaba mtoto yupo na kijana kama Mimi na kanizid kiuchumi