Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kwani baba wa kambo maana yake ni nini teh, we ni baba wa kamboMimi siyo Baba wakambo maana baba mtoto yupo hai na kanizid uchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani baba wa kambo maana yake ni nini teh, we ni baba wa kamboMimi siyo Baba wakambo maana baba mtoto yupo hai na kanizid uchumi
Baba mtoto alikuwa ana muhudumia kabla ya mimba na Ali hudumia mimba baada ya mtoto kuzaliwa tu Baba mtoto akaingia mitini na alikuwa ana mlipia kod nyumba nzimaPengine kuna mambo hakuyaelewa juu ya mzazi mwenzie ndo maana akaogopa kuhudumia, ukute mtoto alikuwa na baba wane
Sasa kama unaona huyo mwanamke huwezi kumuhudumia mtoto wake kwanini usitafute mwanamke ambaye hana mtoto ukamfanya awe mpenzi wakoMimi nilimwambia siwez kulipa Ada %100, Baba mtoto yupo hai na kanizid kiuchumi na nikijana kama mimi tu, na alikuwa anatoa huduma vizur sema baada ya kujifungua tu jamaa haka kata Mawasiliano na huduma hatoa ya mtoto.
Bro, bia ya ngapi hiyo? 🤣🤭Halafu mambo yenu ya kisengesenge tulikubaliana kikao kilichopita muwe mnayamalizia ndani wenyewe.
Tatizo siyo kutoa huduma tatizo kubeba majukum ya mwanaume mwenzangu wakat ana uwezo mkubwa kunizid Mimi kabla ya mtoto kuzaliwa alikuwa ana toa huduma.Shida ni kwamba mkipewa bure ujiko,mkiombwa huduma hatufai.Yaan dunia ya sasa wanaume ni wachache sana
Sijanusa hata povu, ndio narudi hom kwanza halafu niende Juliana.Bro, bia ya ngapi hiyo? 🤣🤭
Okay Sawa.Sijanusa hata povu, ndio narudi hom kwanza halafu niende Juliana.
Haina kufariki mzee baba, ukishakua na mtoto wa mwenzi we ni wa kambo tayari....Baba wakambo ni mwanaume aliye oa mwanamke mwenye watoto ambao baba yao Amefariki
Bhana,embu simama na maamuzi yako,angalia afya ya moyo wako...sio unaumia na vitu vipo ndani ya uwezo wako kuviamua.Tazama moyo unataka nn then decide itTatizo siyo kutoa huduma tatizo kubeba majukum ya mwanaume mwenzangu wakat ana uwezo mkubwa kunizid Mimi kabla ya mtoto kuzaliwa alikuwa ana toa huduma.
Mimi huko ni mtaani kwetu, naenda na malapa tu.Okay Sawa.
Enzi za bata Juliana niliendaga once. Sikuenjoy kivile sababu kwanza ni mbali na ninapoishi.
Marafiki zangu wa kiume walinichukua tukaenjoy. Kufika huko ni totoz totoz Wana disappear kwa zamu. Lol
Kwenye kikao wengi wanajifanya wako bize matokeo yake wanatoa bokoHalafu mambo yenu ya kisengesenge tulikubaliana kikao kilichopita muwe mnayamalizia ndani wenyewe.
Nikwel bora ulee yatima, baba mtoto yupo tena ana uwezo , kama Baba mtoto alikuwa ana uwezo wakulipa kod ya nyumba nzima na kulimpia tiket ya ndenge kwenda kunifungua kitu gan kina mfanya kulipa Ada ya mwanaeYataka moyo kulea bao la mwanaume mwenzio tena anayepumua
angalau kidogo angekuwa kafa ningekushauri jinsi ya kuishi na hiyo mbususu