Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipenda boga, penda na ya lake.... wewe siunamtumia!? Basi kubali kutumika pia.Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote.
Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu.
Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi pamoja kila mtu anaishi kwake lakin tunaishi wilaya moja na kingine mimi sifahamiki kwao na yeye hafahamiki kwetu.
Na mwanaume aliye mzalisha tunaishi nae wilaya moja, chakushangaza hiyu mpenzi wangu hajulikana kwenye familia ya mwanaume aliye mzalisha.
Penzi sio kitu cha kugharamia au kununua mkuu labda kama wanauziana! Kuna wadangaji wengi mnawaita wapenzi wenu wakati wao wanajiuza tu huku mtaani pasipk kusimama barabaraniWewe unataka mbususus yake tu basi>>>> wengine hautaki kughalamia??
Huyo mwanamke yupo na wewe kwasababu anahitaji support ya kiuchumi.. so usijidanganye unapendwa mkuu, maana angekuwa anakupenda angeingiwa hata na aibu kukubenesha hiyo mizigo ya ada n.k kabla hata hamjaingoa kwenye uchumba ma ndoa..Mimi nilimwambia siwez kulipa Ada %100, Baba mtoto yupo hai na kanizid kiuchumi na nikijana kama mimi tu, na alikuwa anatoa huduma vizur sema baada ya kujifungua tu jamaa haka kata Mawasiliano na huduma hatoa ya mtoto.
Anamtumia vipi??Ukipenda boga, penda na ya lake.... wewe siunamtumia!? Basi kubali kutumika pia.
Nikweli mwez kachukia Sanaa kumwambia nime mtumia pesa mtoto wangu mwanamke niliye zaa nae kachukia mpaka aka ni block WhatsApp.Huyo mwanamke yupo na wewe kwasababu anahitaji support ya kiuchumi.. so usijidanganye unapendwa mkuu, maana angekuwa anakupenda angeingiwa hata na aibu kukubenesha hiyo mizigo ya ada n.k kabla hata hamjaingoa kwenye uchumba ma ndoa..
Ingekuwa kwenye ndoa hilo ni jukumu lako lakjno kwasasa mpo mpo no commitment!!
Fanya mambo mengine usije kuleta madhara siku utakayogunduwa anakusaliti!!
Na bado unashindwa kutoa hukumu uwe upande upi!!!?Nikweli mwez kachukia Sanaa kumwambia nime mtumia pesa mtoto wangu mwanamke niliye zaa nae kachukia mpaka aka ni block WhatsApp.
Hajitambui huyo.Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote.
Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu.
Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi pamoja kila mtu anaishi kwake lakin tunaishi wilaya moja na kingine mimi sifahamiki kwao na yeye hafahamiki kwetu.
Na mwanaume aliye mzalisha tunaishi nae wilaya moja, chakushangaza hiyu mpenzi wangu hajulikana kwenye familia ya mwanaume aliye mzalisha.
hili ndio tatizo la wasichana wengi. Mtu anapata mimba hadi unashindwa kukubali kama ni yako.Pengine kuna mambo hakuyaelewa juu ya mzazi mwenzie ndo maana akaogopa kuhudumia, ukute mtoto alikuwa na baba wane
Baba mtoto alikuwa ana muhudumia kabla ya mimba na
Ushauli wangu achana na huyu mwanamke aje kuolewa na mwanaume mwingine ambae atavaa viatu vya huyu mwanamkeMalengo yangu nikuja kumuoa
kaleta stori tu sidhani kama ameshlindwaKweli ndio bongo tutabaki kuwa masikini wa ajabu, masikini haswa wa fikira, sasa hii ni kitu ya kusidwa na la kufanya?na je ni musaada gani mleta mada anataka tumusaidie nao? na je hakujua huyu binti ako na mtoto wakati anamutongoza?na je anaona shida gani kumuambia huyu mama mimi sitaweza hayo na kwahivyo naacha hii mahusiano? pls lets try to use our common sence tho i know its not that common, good day