Mpenzi wangu anataka nimuhudumie kama mke wangu

Hujui ile methali ya...ukipenda boga penda na ua lake....

Hudumia mtoto tu pia sio mbaya chukulia kama unatoa msaada...plus baba mzazi akihudimia ataishia kupasha kiporo ohooo...
 
Aiseee, ngoja nikojoe nikalale. Nikitoa maoni yangu hapa mtasema kwasababu sina pesa na sijaoa[emoji3][emoji3]NIMEMALIZA HIVO[emoji41]
 
Ukipenda boga, penda na ya lake.... wewe siunamtumia!? Basi kubali kutumika pia.
 
Katika watu bilioni 7+... Duniani !!, huyo ndiyo chaguo lako? Hongera sana mkuu,

Pia hongera maana kichwa chako cha juu kimeanza kufunguka nakutafakari maswali kama haya uliyokuja nayo... jitahidi usiendeshwe na ulimbukeni ushamba wa mapenzi!

Achana nae haraka sana!!
 
Wewe unataka mbususus yake tu basi>>>> wengine hautaki kughalamia??
Penzi sio kitu cha kugharamia au kununua mkuu labda kama wanauziana! Kuna wadangaji wengi mnawaita wapenzi wenu wakati wao wanajiuza tu huku mtaani pasipk kusimama barabarani
 
Mimi nilimwambia siwez kulipa Ada %100, Baba mtoto yupo hai na kanizid kiuchumi na nikijana kama mimi tu, na alikuwa anatoa huduma vizur sema baada ya kujifungua tu jamaa haka kata Mawasiliano na huduma hatoa ya mtoto.
Huyo mwanamke yupo na wewe kwasababu anahitaji support ya kiuchumi.. so usijidanganye unapendwa mkuu, maana angekuwa anakupenda angeingiwa hata na aibu kukubenesha hiyo mizigo ya ada n.k kabla hata hamjaingoa kwenye uchumba ma ndoa..

Ingekuwa kwenye ndoa hilo ni jukumu lako lakjno kwasasa mpo mpo no commitment!!

Fanya mambo mengine usije kuleta madhara siku utakayogunduwa anakusaliti!!
 
kila siku tunasema humu usichukie single mother mpaka uone kaburi la mzazi mwenzie,acha kulia lia lipa ada,bado kodi,vikoba,saloon,mavazi,chakula, UTANYOOKA
 
Epuka huo mtego utakuja juta ndugu. Bila hivyo labda uwe na uhakika si muda mrefu unamuoa
 
Nikweli mwez kachukia Sanaa kumwambia nime mtumia pesa mtoto wangu mwanamke niliye zaa nae kachukia mpaka aka ni block WhatsApp.
 
cocastic ndo mkiwapaga malimbwata watu wanakuwa hivi eeh!!?

Samahani mkuu unawaza sawa sawa kweli ama!?
 
Nikweli mwez kachukia Sanaa kumwambia nime mtumia pesa mtoto wangu mwanamke niliye zaa nae kachukia mpaka aka ni block WhatsApp.
Na bado unashindwa kutoa hukumu uwe upande upi!!!?
 
Kweli ndio bongo tutabaki kuwa masikini wa ajabu, masikini haswa wa fikira, sasa hii ni kitu ya kusidwa na la kufanya?na je ni musaada gani mleta mada anataka tumusaidie nao? na je hakujua huyu binti ako na mtoto wakati anamutongoza?na je anaona shida gani kumuambia huyu mama mimi sitaweza hayo na kwahivyo naacha hii mahusiano? pls lets try to use our common sence tho i know its not that common, good day
 
Hajitambui huyo.
 
Pengine kuna mambo hakuyaelewa juu ya mzazi mwenzie ndo maana akaogopa kuhudumia, ukute mtoto alikuwa na baba wane
hili ndio tatizo la wasichana wengi. Mtu anapata mimba hadi unashindwa kukubali kama ni yako.
 
kaleta stori tu sidhani kama ameshlindwa
 
Salaleh!!

Naona kuna mwanaume mwenzetu ashafanywa kuwa jogoo la kuazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…