Mpenzi wangu anataka nimuhudumie kama mke wangu

Ukipenda Boga upende na Maua yake kama unampenda kweli na una lengo la kumuoa kutoa huduma siyo mbaya.
 
Mjinga wewe
 
Achana na single mother ilo ni janga la kitaifa mbona wadada fresh wapo tu unakwama wapi mkuu
 
Wanasema ukipenda boga penda na ua lake...

Akili kwa mukichwa...
 
Ivi kweli mkuu hili nalo linakusumbua? Mm .mwanamke akianza kuongelea familia yangu basi tumeachana haiwezekani ujinga wangu uathiri fimilia yangu
 
mhudumie kama "mzinzi mwenzio"
 
Ukijiunga na UWABATA (Umoja wa Wanaume Bahili Tanzania)hutolalamika hizi mambo.
 
Mrejesho boss
 
Jamaa amejaa shida ila anataka kujitwisha matatizo !! Utaweza kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…