cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂😂😂Ukiona hivyo wewe hutoshi kuwa mume wake…!!
Sasa cha kufanya mtimue aende kwa ex wake wakachat live..!!
😂😂😂😂😂😂Ukiona hivyo wewe hutoshi kuwa mume wake…!!
Sasa cha kufanya mtimue aende kwa ex wake wakachat live..!!
waufukweni, chukua huu ushauri uufanyie kazi!Nipe namba yake nimfokee ataacha hiyo tabia.
ati uendelee kuitwa nani? Mwanaupinde muadilifu unavunga mtakatifu?Mapenzi yanatesa watu hivi?? Mbona sitaki kuamini kabisaaa?
Kuna nini kwenye mapenzi huko?? Kila siku vilio vipya kwa wahusika.
Niendelee kuwa mtawa mie.
Once u get hurt u become strongWakuu
Moyo wangu unaumia sana, naona kama unavuja damu kutokana na maumivu ninayoyapitia karibu kila siku.
Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu, hakuna kinachoendelea. Nilijaribu kujidanganya, nikajifanya niko sawa, lakini moyoni kulikuwa na kelele za maumivu yasiyoisha.
Kila notification ikilia, tabasamu lake lilinifanya nijisikie mgeni kwenye uhusiano wangu mwenyewe. Nilianza kujiuliza kama ni walishaachana, kwa nini bado ana nafasi kubwa kwenye penzi letu?
Siku moja nilikaa kimya, nikachagua kusikiliza zaidi kuliko kuuliza. Niliona jinsi anavyocheka, jinsi anavyopotea kwenye mazungumzo yao. Hapo ndipo niligundua kuwa si mazungumzo yakawaida, yaliniuma sana.
Nilimkalia chini na kusema kwa utulivu, ‘Sipigani na ex wako, napigania heshima na nafasi yangu.’
Alikaa kimya. Na kwenye ule ukimya, nilijua ama mahusiano yetu yameisha muda.
Naomba ushauri wako, nifanye nini kuhusu mkasa huu, kwani bado nampenda sana na nilikuwa na ndoto kubwa sana na huyu mpenzi wangu.
Tatizo bado ni mvulanaPole sana huyo kwake wewe sio kabisa..
Bora uanze kufikiria pa kutoka upate anayekupenda na kukuheshimu... n.k.
nimemuonea imani sababu haya mambo yanayoihusisha hisia huwa siyo rahisi kabisa kukabiliana nayo, yanahitaji maamuzi magumu na ukomavu wa akili..!binti kiziwi kijana wetu anaangamia huku,njoo umpe neno la faraja japo wakubwa ukweli tumesha ujua.
Carleen Pita mitaa hii tusikie neno lako.
Waufukweninimemuonea imani sababu haya mambo yanayoihusisha hisia huwa siyo rahisi kabisa kukabiliana nayo, yanahitaji maamuzi magumu na ukomavu wa akili..!
wengi wetu humu ni keyboard warriors, tutambagaza mtoa mada kwa kila aina ya maneno ila ukhalisia tunao mioyoni mwetu kila mmoja anapambana na lake, tofauti ni kuwa sisi hatukuchagua kuliweka kwa jamii..!
naomba nimuambie mtoa mada, kwanza azungumze na mwanamke wake kuwa anachukizwa na hiyo tabia, lakini kama hata baada ya kuongea naye bado matokeo ni yaleyale maana yake, yeye sasa ana jukumu la kuchukua maamuzi anayoona ni sahihi kwa mustakabali mzima wa amani yake,
sababu mwisho wa siku ukweli usiosemwa ni kuwa, kamwe hatuwaumizi kwa makusudi wale tunaowapenda kwa dhati..!
Very true,Once u get hurt u become strong
chukua time..