Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu!

Yawezekana mpenzi wako na ex wake waliachana kwa hasira, alikosewa vibaya au alichwa akakurupuka kuingia kwenye mahusiano na wewe.

Saiv either memories zinamtesa au kuna aina ya heka heka zinamtesa.

Cha kufanya kaa nae mbali, focus na mishe zako & epuka kukaa mwenyewe jichange kwenye mpira, pool table, vijiweni au popote patakapokuepusha na stress za kumuwaza.

Mapenzi ni field ya ajabu hela zako, tombaring capacity, uanaume wako & wema wako havina msaada siku za wapendanao zikitimia.
 
Once u get hurt u become strong
chukua time..
 
Nyie vijana ambao tangu udogoni mlikuwa mnaambiwa "soma kwanza wanawake utawakuta huko mbeleni ukishamaliza masomo na kupata kazi"... na kweli mkaufuata huo ushauri, huwa mna sumbuliwa sana na wanawake, tena huwa mnasumbuliwa na wanawake makahaba.
 
binti kiziwi kijana wetu anaangamia huku,njoo umpe neno la faraja japo wakubwa ukweli tumesha ujua.

Carleen Pita mitaa hii tusikie neno lako.
nimemuonea imani sababu haya mambo yanayoihusisha hisia huwa siyo rahisi kabisa kukabiliana nayo, yanahitaji maamuzi magumu na ukomavu wa akili..!

wengi wetu humu ni keyboard warriors, tutambagaza mtoa mada kwa kila aina ya maneno ila ukhalisia tunao mioyoni mwetu kila mmoja anapambana na lake, tofauti ni kuwa sisi hatukuchagua kuliweka kwa jamii..!

naomba nimuambie mtoa mada, kwanza azungumze na mwanamke wake kuwa anachukizwa na hiyo tabia, lakini kama hata baada ya kuongea naye bado matokeo ni yaleyale maana yake, yeye sasa ana jukumu la kuchukua maamuzi anayoona ni sahihi kwa mustakabali mzima wa amani yake,

sababu mwisho wa siku ukweli usiosemwa ni kuwa, kamwe hatuwaumizi kwa makusudi wale tunaowapenda kwa dhati..!
 
Waufukweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…