Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.
Mue makini dada zangu kwa hili.
kwani kumtongoza mtu ni kosa?sidhani kama kuna kosa lilovunjwa!basi nendeni mkamshtaki huyo muombaji.
Wizara ya Elimu makao makuu? Kama makuu ni idara ipi? Utumishi, Sera na Mipango,Ukaguzi,Elimu ya Msingi, Elimu ya Sekondari,Vyuo vya Ualimu, Ufundi, Elimu ya juu? Funguka Mkuu tujue pakuanzia.
Ninachoshngaa ni hiki, Siku hizi wanaajiri kupitia Tume ya ajira inakuwaje Mpenzi wako anadanganywa kwamba kuna ajira wakati wanaotangaza ajira na kusaili ni Tume ya Ajira
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.
Mue makini dada zangu kwa hili.
kwani kumtongoza mtu ni kosa?sidhani kama kuna kosa lilovunjwa!
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia
utaratibu mwingine.
Mue makini dada zangu kwa hili.
Mpaka ametokea kua muwazi kunishirikisha maana yake amechukizwa na hayupo tayari.
mpaka ametokea kua muwazi kunishirikisha maana yake amechukizwa na hayupo tayari.