Mpenzi wangu aombwa rushwa ya ngono ili apate kazi.

Mpenzi wangu aombwa rushwa ya ngono ili apate kazi.

Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.

Mue makini dada zangu kwa hili.

mnakataa bahati hivi hivi ...shauri zako haiji mara mbili hiyo..mwambie akubali wewe tupate mishahara tukaege miti mirefu tunagonga ndovu bariiidiii.....kwani k kitu gani bana ...
 
si kitu kimeanza leo, mbona wadada wengi tu wanatoa za ndani ndio wanapata kazi.

Copy and paste hiyo link kwenye browser. Nimeshinda kuweka link kwa kutumia simu.
.

jamiiforums.com/jf-chit-chat/118564-45%25-ya-wanawake-wenye-ajira-wametoa-rushwa-ya-ngono.html
 
mpe pole mwambie awe imara majaribu tu hayo aendelee kutafuta atapata sehemu atakayotumia vyeti vyake na si mwili wake kupata kazi
 
Wizara ya Elimu makao makuu? Kama makuu ni idara ipi? Utumishi, Sera na Mipango,Ukaguzi,Elimu ya Msingi, Elimu ya Sekondari,Vyuo vya Ualimu, Ufundi, Elimu ya juu? Funguka Mkuu tujue pakuanzia.

Ninachoshngaa ni hiki, Siku hizi wanaajiri kupitia Tume ya ajira inakuwaje Mpenzi wako anadanganywa kwamba kuna ajira wakati wanaotangaza ajira na kusaili ni Tume ya Ajira

Ukweli hakumjulisha wazi ni kitengo kipi!
 
Mmmh makubwa sana haya mkuu,nadhani mwambie akimbie uzinzi.
 
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.

Mue makini dada zangu kwa hili.

Wewe na mpenzi wako kama ni wapenzi wa halali (mke na mume tu) basi msipoteze nafasi nzuri kama hii kutoa fundisho katika kusafisha nchi yetu kutokana na hawa mafisadi. Haki na nafasi hii ni halali tu ikiwa na nyinyi ni wapenzi kihalali (mke na mume tu), na yeye huyo binti anazo sifa za halali zinazohitajika kwa nafsi hiyo ya kazi, kinyume na hivyo ni moja kati ya haya mawili:- 1. Haki/nafasi hiyo inakwenda kwa kaka zake, baba zake na wajomba zake huyo binti, sio wewe. 2. Jichunge sana hata wewe vile vile usijekuwa unafanya uchafu wa zinaa na huyo binti kwa kuwa "intimate" nae (yaani unavyoweza kusema mpenzi wangu bila ya hofu wala haya mbele ya kadamnasi ya watu kama humu jamvini), kumbuka kwamba uchafu wa zinaa unatuletea ufisadi tosha ulimwenguni.

Haki/nafasi yenyewe ni hivi:

Anatakiwa ategwe huyu fisadi na ushahidi ukusanywe wa kutosha. kwa kifupi siku hizi mobile phone na recording technologies nyenginezo zinaweza kukidhi hili na ushahidi kamili wa sauti za machafu ya mafisadi kama hawa zinaweza kukusanywa. Ushahidi huu uhifadhiwa vizuri na uwe multiplicated (copy kama 4 au 5 na zihifadhiwe vizuri sana ili itakapobidi kwmba kopi moja mkiwapa kihalali lakini ikaangukia kwenye mikono ya "baadhi' ya mafisadi katika vyombo vya sheria na wakiiharibu kwa makusudi kutaka kuficha ushahidi, basi nyengine ya kuwasuta mahakamani ipoooo). Ategwe mpaka katika level ya guest house ambako ndiko wenye haki/na nafasi hii adhimu watoe fundisho linatakiwa lipatikane. Fundisho hili ni kwa kisasi/haki/nafasi yao binafsi na halali kwa ajili ya kulinda hadhi na heshima ya mpenzi wa mtu (mke wake au binti, dada, binamu yake mtu), vile vile haki/nafasi kwa ajili ya nchi yetu adhimu katika vita dhidi ya hawa mafisadi. Anatakiwa huyu fisadi auawe kwa kupigwa mawe kama wanavyouawa "vibaka" mitaani, kwa maana yeye ni mchafu zaidi ya vibaka ( ni fisadi, mzinzi, mkandamizaji, mharibifu, habithi, mchafu, mchafu, mchafu, mchafuuuuuuuuuuuuuuu) pamoja na kwamba taifa letu limemsomesha, limempa cheo na limemuamini.

Kama una haki ya halali, mapenzi na uchungu wa huyo binti na Taifa letu, basi usipoteze nafasi hii.
 
Akatoe taarifa TAKUKURU ili tabia ya huyo mtu iweze kuzuiwa.
 
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia
utaratibu mwingine.



Mue makini dada zangu kwa hili.

Nampongeza huyo dada kwa kuwa na msimamo, kwenye maisha hakuna shortcut kama wengi wanavyojidanganya.

Namfahamu mtu ambaye alimaliza chuo akasota miaka miwili bila kazi huku akiendelea na interviews siku ya siku akaitwa sehemu tatu zote nzuri kuanza kazi akachagua yenye mshahara mnono zaidi.

Haya mambo ya kuvua nguo sijui nini ni watu waliojikatia tamaa na hawana tena thamani machoni mwao wenyewe.

Na huyo boss ingewezekana mumreport asiwafanyie wengine hivyo.
 
mpaka ametokea kua muwazi kunishirikisha maana yake amechukizwa na hayupo tayari.

unaamini siku akitoa atakwambia???? Zijue tabia za wanawake. Ukiona amekushirikisha kwenye hili ujue anakujengea mazingira ya wewe kumuamini na kumpenda zaidi. Usijisifu/usimsifu
 
Akubali yaishe kumbuka KILA MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAKE..............
 
Asikubali kuwa cheap.Ajiamini kwamba anaweza kuoata kazi kwa sababu she deserve that job.
 
Back
Top Bottom