Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.
Mue makini dada zangu kwa hili.
mnakataa bahati hivi hivi ...shauri zako haiji mara mbili hiyo..mwambie akubali wewe tupate mishahara tukaege miti mirefu tunagonga ndovu bariiidiii.....kwani k kitu gani bana ...